Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,136
- 110,847
Unawezaje kununua gari la mil 20 alafu unashindwa kwenda sehemu classic ya kupata hiyo uduma hadi uende vichochoroni au kwenye vibanda pembeni mwa barabara
Habarini wakuu.. kumekuwa na ongezeko la watu kupenda kunywa hiyo juice ingawa sijajua ni kutokana na umaarufu au kufata mkumbo bado sijajua
Hoja yangu hapa ni mazingira ya utengenezaji ukianza na mashine yenyewe ipo tuu nje nzi,vumbi, vyote vinaipata, mtengenezaji mwenyewe ndo kabisaa majanga mkono huo huo wa kukamulia, ndo unafuta meza,.unapokea chenchi ila kubwa kuliko ni hizo glass za kunywea sasa yani glass hazioshwi vizur ni zinawekwa kwenye maji na kutolewa kibaya ni kua hayo maji hayabadilishwi!
Sasa watu wa dar ndo wananishangaza mtu anakuja na gari la gharama alafu ananunua juice kwenye mazingira yale sasa ni kutojua au watanzania tushazoea uchafu
TUWE MAKINI KWA HILO
Asante sana mkuu.....tumbo lako lilikuwa chafu juice ya miwa husafisha tumbo na figo kamaa hujui siku nyingine kanunue juice ya miwa special ambayo haijachanganywa na ndi mu wala barafu changanya na dawa inaitwa MJAFARI kijiko kimoja kwa lita moja tumbo lako lisafishike zaidi
Hakika wewe ni mgeni hapa mjini, mbona mkuu wa Uhasama wa Taifa bwan Othman tunagonga naye supu ya pweza Coco kwenye vibakuri vya plastic?
Una uhakika gani kwamba hiyo gari ni lake? akili ndogo hii!Unawezaje kununua gari la mil 20 alafu unashindwa kwenda sehemu classic ya kupata hiyo uduma hadi uende vichochoroni au kwenye vibanda pembeni mwa barabara