hapa hapa ni Bongo mitaa ya uhindini.
hapa sio bongo mkuu..ni india.
Kwahiyo wewe unapokunywa hiyo juice ukimuona mtu ana park gari zuri na kununua hiyo juice basi unajua ni mtu wa dar!!. Wewe kwenu wapi. Au huwa unawauliza???.
Hizo sehemu unazoziita classic utaenda nunua juice kwa tsh. 3000 na matokeo yake ukapate fleva ya muwa baada ya muwa wenyewe, maana muwa mmoja utaachanganywa na Lita 20 za maji na sukari nyingii uswazi ndio kila kitu.
tumbo lako lilikuwa chafu juice ya miwa husafisha tumbo na figo kamaa hujui siku nyingine kanunue juice ya miwa special ambayo haijachanganywa na ndi mu wala barafu changanya na dawa inaitwa MJAFARI kijiko kimoja kwa lita moja tumbo lako lisafishike zaidiKuna siku nilikunywa juice pale mamzese mida ya saa tatu usiku......dah!!!.....asubuhi tumbo lilivuruga mbaya mpaka nikashindwa kwenda kibaruani...siku hiyo ilibidi nishinde nimevaa msuli bila nguo ya ndani ili kuokoa muda wa kuvua nguo nikifika makao makuu maana speed yake ni kali unaweza ukayaacha mlangoni......ilikuwa noumer sana......