Usicheze na Mwanamke akiamua ameamua

Unakuwa na mtu unamuheshimu hata utongozwe vipi unamfikiria yeye haukubali, ukimpigia simu sasa kupokea kwa shida mara asipokee anakuta miss cal zako hapigi sms hajibu watsap anasoma baada ya wiki na hajibu unajiuliza huyu mtu ananiona boya? Ukimwambia mbona upo hivyo mawasiliano hamna majibu sasa unanifikiria vibaya na ugomvi inafika mahali hautaki hata kumuona
 
Kwakweli. Duh.
 
Aisee pole sana, kikubwa kwenye mahusiano ni communication , wanaume wengi mnafeli apo, yaani unampigia mtu hajibu huwa inafika point tunachoka sisi pia tuna thamani,
Ni kweli ulisemalo mpendwa.
Nilimpuuzia sana sikujua kama alichukua nafasi kubwa sana kwenye moyo wangu
 
Daah.....
Tena akanitamkia kabisa nimeshampata mwengine ww naona uko bize tu na kutafuta pesaa hahaha nilifkiri masihara ujue
Ungekuwa busy na yeye huku hauna muda wa kutafuta pesa na maisha yako yangekuwa duni angekuona haufai vilevile.
Mizani kati ya kutafuta maisha bora na kutumia muda wako kwenye mapenzi ni ngumu sana kuielewa kutoka kwa moyo wa mwanamke.
Wanawake wenyewe bado hawana uhakika wachague kipi kati ya hivyo viwili. Kuvichagua vyote kwa usawa haiwezekani mkuu.
 
Wanawake wote mwalimu wao ni mmoja, anyway mi yashanikuta na imepita miezi ananitangazia anaolewa mi nambembeleza ila kweli nishampotezea huyu mwanamke nilimcheat ila niliogopa kumwambia ukweli akaja kujua after 4year kutoka kwa m2 ile deep love yote kaivunja kama kioo dadeki
 
Bado haujakuwa wewe!kuna wanawake wanaigiza kwenye mapenzi zaidi ya tamthilia za kihindi
 
Kumbe wewe ndo ulianza kuaribu kazi
Aiseee noma sana sema ukichokwa sababu ya kusamehewa inakuwa ndo sababu kubwa ya Kuachwa..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…