Usicheze na Mwanamke akiamua ameamua

Pole sana....
Na wewe ulizembea sana....
Ila kazi nyingine zinatufanya tusiingie kwenye mahusiano, usianze mengine mpaka uwe na hakika ya muda nayo...
 
Wanawake muda wote wanatongozwa, sasa ukijidai huna muda, wenye muda watamkwapua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo Mwanamke naye wa kutongozwa muda wowote na kukubali HANA AKILI.

Wala sio wa kusifiwa kwa uhuni/umalaya huo.
 
Wanawake wakisema imetosha imetoka hiyoo...!! lakini wewe kazi yako aisee ni muhimu kuliko mapenzi sema na wewe Ubize gani hata Msg moja unashindwa kutumaa au usalama???au sema tu ulinogewa na kwinginee bro...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


NO BODY IS BUSY IS A MATTER OF PRIORITY...
 
Usitutishe
 
Huyo Mwanamke naye wa kutongozwa muda wowote na kukubali HANA AKILI.

Wala sio wa kusifiwa kwa uhuni/umalaya huo.
Akili za wanawake unazijua mkuu, huenda manzi alijua jamaa ana chombo kingine hivyo anampotezea, wanawake bwana wanatafsiri kila jambo na kujipa majibu na solution wenyewe bila kujali ni sahihi ama la.
 
Watu wanafarijiana kiaina!! Jiulize huenda kuwa bussy labda wewe ndo umea hwa bila kujua watu wengine hawahahitaji ugomvi ndo muachane, kimya kimya ushaachika!
 
Watu wanafarijiana kiaina!! Jiulize huenda kuwa bussy labda wewe ndo umea hwa bila kujua watu wengine hawahahitaji ugomvi ndo muachane, kimya kimya ushaachika!
Hili nalo linanifikirisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…