Usicheze na hisia za mwenzio

Usicheze na hisia za mwenzio

ebu wacheni kutuzingua nye wanawake bana....ukatafute mume online tayari inaonyesha wee sio wife maferial.

mwanamke mwenye qualities za kuwa mke hawezipata shida ya kupata mume unless yeye mwenyewe aamue kuwa picky which in itself makes her nt wife material.

alafu ebu wacheni kumuinhiza MUngu kwenye mambo ya kipuuzi kama love connect. God has given u the ability to make ur own choices and in this case its a poorone for that matter. accept that!!
 
Huo upendo ukipewa utaweeza kuuhimili au unabwabwaja tu hapa jf??
Wewe utakuwa ni mwanamke mwenye masharti magumu.
ningekuwa sijabadil maamuzi ya kutotaka teena mtu umu ningekwambia try me alafu huna evidence kwamba nina mashart magum kati ya mimi na wewe nana ana BWABWAJA?
 
Dada mbona unaonekana umepanic hivyo...

Kama hujapendezwa na tabia ya huyo uliyewasiliana naye si uwe kimya tu...

Kwani ulipoamua kuanika bandiko lako hadharani ulitegemea kukutana na watu wa aina moja tu? Au ulipoamua kumtafuta huyo kijana, ni lazima ungepata kila sifa uzitakazo?

Binafsi nakuona unajaribu kuchekesha walionuna tu hapa, pia nina wasiwasi huna uzoefu na mahusiano na ukifanikiwa kuingia kwenye mahusiano utakuwa msumbufu sana wewe...

eti mwishoni akanambia hutaki twende club sabab una mambo mengi eti ujiamini....jamani siwez kwenda huko mimi kwanza sijawah na nadhan ni sehem hatari lakini pia nadhani watu wanavaa bila heshima na kuna pombe jamni mimi pombe sinywi yaani nahisi hasira na njaa pia na huzuni
 
jamani kwa nini mnatangaza kutaka wachumba alafu mnafanya mambo ya ajabu,,,nilifatilia post ya kaka mmoja wiki kama mbili zilizopita alisema anatafuta mchumba sasa baada ya kuchat nae kwa muda leo hii tukapanga tukutane kuzungumza cha ajabu ananiambia eti uje uage kabisa haurudi ili twende club tutarudi usiku CLUB?????????? hivi kweli unataka mke ama??? yaani umenifadhaisha natamani nikutaje hapa,, alafu jingine ni kwamba na mimi nilipost lakini naona wengi wanaokuja pm wanafanya games jamani hivi msaada hapa kabla hujafika mbali na mtu utajuaje kama ancheza na hisia zako? maana siku hizi watu wana janja nyingi
kwadeee siiiiye......utapata tu...Naaai!
 
ebu wacheni kutuzingua nye wanawake bana....ukatafute mume online tayari inaonyesha wee sio wife maferial.

mwanamke mwenye qualities za kuwa mke hawezipata shida ya kupata mume unless yeye mwenyewe aamue kuwa picky which in itself makes her nt wife material.

alafu ebu wacheni kumuinhiza MUngu kwenye mambo ya kipuuzi kama love connect. God has given u the ability to make ur own choices and in this case its a poorone for that matter. accept that!!
WEWE MBONA ULIKUJA PM NA KUNITAKA KAMA ULIJUA SINA VIGEZO? NA NILIJUA NI WALE WALE NDO MAANA SIKUWA NA WAKATI MGUM KUFANYA MAAMUZI JUU YAKO,USHASEMA MUNGU KAMPA KILA MTU UAMUZI WAKE NA MIMI WANGU NDO HUU,,WATU WENGI WANAPATA WACHUMBA ONLINE NA WANADUM,,HATA ALIEANZISHA HII PAGE NA JAMII FORUM KWA UJUMLA ANA AKILI KULIKO WEWE NDO MAANA WEWE UMEJIUNGA,ALAFU KAMA HUU NI UJINGA huku kwenye love connect umefata nini? nenda jukwaa la siasa.WEWE NI MFANO HAI WA NILICHOSEMA WATU MSICHEZE NA HISIA ZANGU alafu nipe email yako nikusendie picha zangu ili usfie uumbaji wa mungu,next tym ukipost uwe na evidence
 
Dada mbona unaonekana umepanic hivyo...

Kama hujapendezwa na tabia ya huyo uliyewasiliana naye si uwe kimya tu...

Kwani ulipoamua kuanika bandiko lako hadharani ulitegemea kukutana na watu wa aina moja tu? Au ulipoamua kumtafuta huyo kijana, ni lazima ungepata kila sifa uzitakazo?

Binafsi nakuona unajaribu kuchekesha walionuna tu hapa, pia nina wasiwasi huna uzoefu na mahusiano na ukifanikiwa kuingia kwenye mahusiano utakuwa msumbufu sana wewe...
hapana siko kama unavyofikiria,,na huwa siwezi short term relationship ndo maana nakuwa makini sana na sehem za kukutana na mtu hasa mpenzi maana hakuna kitu kizur chini ya mbingu kama subira,ni bora ukae muda mrefu bila mpenzi kuliko chomvya chomvya
 
Ungelikuwa ni muumini wa hayo maneno niliyoyakoleza kwa rangi nyekundu sitegemei leo hii ungelikuwa hapa watokwa na mchozi wa lawama...

Swala ajianikaye mbele ya Simba na akakoswakoswa kutafunwa, je unadhani Simba anapaswa kulaumiwa hapo?

Wewe mwenyewe kwa utashi wako pasipo kushurutishwa na mtu yoyote, uliamua kumfuata huyo kijana huko PM ukiwa na matarajio kedekede.

Labda nikuulize, huyo kijana alikushurutisha umtumie PM?

Kama huyawezi mapenzi ya kisasa (mtandaoni), kaa kimya tena kimbia kabisa.

Unaonekana upo desperate sana wewe, na una bahati umekoswa koswa la hasha ungekutana na mkware leo hii hata usingerudi hapa kwa aibu.

Jitambue bi dada...
 
Maisha yanasmga Watu8.
 
Last edited by a moderator:
Mapenzi JF watu wengine bhana mnauzi sana.

Seriously, umepania kupata wife or husband JF?

Anyway, akili tunatofautiana, ila mnauzi.
 
WEWE MBONA ULIKUJA PM NA KUNITAKA KAMA ULIJUA SINA VIGEZO? NA NILIJUA NI WALE WALE NDO MAANA SIKUWA NA WAKATI MGUM KUFANYA MAAMUZI JUU YAKO,USHASEMA MUNGU KAMPA KILA MTU UAMUZI WAKE NA MIMI WANGU NDO HUU,,WATU WENGI WANAPATA WACHUMBA ONLINE NA WANADUM,,HATA ALIEANZISHA HII PAGE NA JAMII FORUM KWA UJUMLA ANA AKILI KULIKO WEWE NDO MAANA WEWE UMEJIUNGA,ALAFU KAMA HUU NI UJINGA huku kwenye love connect umefata nini? nenda jukwaa la siasa.WEWE NI MFANO HAI WA NILICHOSEMA WATU MSICHEZE NA HISIA ZANGU alafu nipe email yako nikusendie picha zangu ili usfie uumbaji wa mungu,next tym ukipost uwe na evidence

hureeeeeeeeeeee! na wapondaji wengi ndo wanaongoza kugonga hodi pm za watu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom