Usicheze na hisia za mwenzio

Usicheze na hisia za mwenzio

hapana my dear namuomba mungu sana kuvua sketi ni jambo la mwisho sana
 
Basi usiniseme sana siku nyingine sirudii tena kukuambia twende club nitakuambia tukutane kwa KAKOBE kanisani pale full gospel bible fellowship.
Nisamehe masai dada
 
u played with my mind and you prove it,kwa kuwa simuumizi mtu basi na mimi mungu ananiwekea kioo sitaumizwa kamwe
 
jamani kwa nini mnatangaza kutaka wachumba alafu mnafanya mambo ya ajabu,,,nilifatilia post ya kaka mmoja wiki kama mbili zilizopita alisema anatafuta mchumba sasa baada ya kuchat nae kwa muda leo hii tukapanga tukutane kuzungumza cha ajabu ananiambia eti uje uage kabisa haurudi ili twende club tutarudi usiku CLUB?????????? hivi kweli unataka mke ama??? yaani umenifadhaisha natamani nikutaje hapa,, alafu jingine ni kwamba na mimi nilipost lakini naona wengi wanaokuja pm wanafanya games jamani hivi msaada hapa kabla hujafika mbali na mtu utajuaje kama ancheza na hisia zako? maana siku hizi watu wana janja nyingi

Leo nashukuru mtoa mada uko wapi nikupe zawadi kama uko mbali ukinipa namba saizi nakupa zawadi
kwa nini nikupe:sababu kubwa ni kutoa ushuhuda wa kweli kuna majitu humu mauza kuku,mengine mamalaya ya kufa mtu lakini sisi tukiongea ukweli twaonekana kuwa wanafiki wakubwa na twanekana watu wa ajabu tukianza kuponda hii style ya utafutaji wa uchumba
kuna wengine wanatafuata wachumba humu wakiwa wameolewa na wengine wameoa kuna mtu nafanya naye kazi nilikuta kaweka mada ya kutafuta mchumba humuhumu JF wakati ni mke wa watu ilibidi tu nikaushie tu
Naamini humu kuna watu wanatafuta wengine wakiwa siriazi kabisa ila wanakutana na magumegume
ushauri:nakushauri dada muombe mungu utapata mume bora zaidi na usiwe unajitangaza kutafuta mwanamume mungu yupo pamoja na wewe wala usijali kabisa pili kama uliwahi kukaa na mtu kwenye uhusiano jaribu kuangalia mliachana kwa sababu gani kama ni matatizo yako ujilekebishe ili utakayepata usifanye makosa tena muombe mungu utafanikiwa zaidi na kingine zaidi hebu kaa zaidi kutafuta hela na uwe na mawazo ya kimaisha zaidi
mwisho nakutakia safari njema ya kutafuta akupendae mungu atakubariki
 
yaaani mungu atusamehe bure
Pole sana dada yangu humu wengi hawatafuti wachumba ila wanatafuta wanawake wa kuwagegeda halafu waje wajisifu humuhumu kwa hiyo inahitaji kuwa muangalifu sana la sivyo utaishia kugegedwa na mume usipate
 
eti mwishoni akanambia hutaki twende club sabab una mambo mengi eti ujiamini....jamani siwez kwenda huko mimi kwanza sijawah na nadhan ni sehem hatari lakini pia nadhani watu wanavaa bila heshima na kuna pombe jamni mimi pombe sinywi yaani nahisi hasira na njaa pia na huzuni
pole sana...utampata tu mwenza sahihi kuwa na subira na muombe mungu pia 🙂
 
Aiseee huwa siamini haya mambo ya kupata wachumba humu, wengi humu wamekaa kiutani ama kitapeli zaidi, siamini haya makitu kabisa ila isijekuwa nawe uliomba ukutumie M-Pesa so akaona muishie club ili kubalansisha mzani
 
Mmhh ! pole mwaya, humu waongo wengi dada, mtu anakudanganya yuko dar, mnapanga muonane, dakika chache kabla ya kuanza safari anakuambia mimi niko kigoma njoo unifate, wengine wanakumbia ukija tukutane guest fulani uje na kondom za kutosha,yani mimi nilihangaika nao nikajichokea , naona afadhali lile jukwaa la love connect lifutwe maana halisaidii chochote, limejaa wababaishaji na matapeli wa mapenzi.
 
hapana ninaishi na kuendesha maisha yangu vizuri tu,,na kwa nini niombe pesa wakati naweza kuitafuta mi nataka upendo tu
 
NA KWA NIN WEWE UTAFUTE MCHUMBA MTANDAONI, MI HUWA NAONA WANAOTAFUTA WACHUMBA HUMU WOTE VICHWA PANZI
Tulia atakuja mwenyewe
 
We mwenyew majanga tuu,umekosa mume mtaaan mpaka uje huku???lazma upate wa typ uitakkayo ww
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom