Usicheze cheze na tendo la ndoa

Usicheze cheze na tendo la ndoa

mgonjwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
514
Reaction score
223
Kuna tofauti kubwa baina ya mwanamke na mwanamue wanapokuwa katika tendo la ndoa.

MWANAMKE:

1) Aibu huongezeka.

2) Nguvu za mwili humuishia na mwili hulegea.

3)Uwezo wa kufikiria huongezeka na kufika (to the maximum).

MWANAUME:

1) Aibu hutoweka kabisa.

2) Nguvu za mwili huongezeka.

3) Uwezo wa kufikiria(IQ) hushuka na kufikia zero! (hasa anapokuwa kileleni). Katika hayo kuna mambo tunajifunza:

a) Kumbe ndio maana Biblia inasema (mwanamume) aziniye na mwanamke hana akili kabisa; kwa sababu kimaumbile na kisaikolojia uwezo wa kufikiri hutoweka!

b) Kama mwanamke anakuwa na uwezo mkubwa wa kufikiria (to the maximum) na mwanamume akili na uwezo wa kufikiria vinashuka (to zero), bila shaka unaweza ukatambua kwa nini Samson "asingesalimika kwa namna yeyote ile mbele ya Delila! Nadhani wanaume tunapata somo letu hapa; "Mwanamke unaempa mwili wako kupitia tendo la ndoa, ikiwa ana nia mbaya ni rahisi mno kukumaliza kiulaini".

Katikati ya tendo hili (akili yako inapokuwa sifuri) unaweza kujikuta unakabidhi mshahara wote! Unaweza kujikuta unaahidi kumnunulia gari wakati hata pikipiki imekushinda.Unaweza kuikana familia yako mchana kweupe! Na asikwambie mtu; "Ahadi unazozitoa katikati ya tendo hili zina nguvu kubwa kuanzia ulimwengu wa roho hadi katika fikra.

Ndio maana ukidakwa na ukajikuta umeropoka ahadi, Kede kede na hilo litakuganda mpaka ujute!". Pengine la muhimu (kwa wote) ni kujitahidi kuheshimu miili yetu na inapotolewa kutumika basi iwe ni "sadaka ya amani na haki" kwa wale wa halali na wanaostahili
.
 
Ngoja waje ambao uwezo wa kufikiria hushuka wachangie,mm hubaki kama ulivyo
 
Du!! sijawahi fikiria hii, ngoja nikatafute demu nijaribu alafu nitawajuza. kama kuna binti humu anaweza kukubali tukafanye majaribio ani pm.
 
USICHEZE-CHEZE NA TENDO LA NDOA..!!
Kuna tofauti kubwa baina ya mwanamke na mwanamue wanapokuwa katika tendo la ndoa. MWANAMKE: 1) Aibu huongezeka 2) Nguvu za mwili humuishia na mwili hulegea 3) Uwezo wa kufikiria huongezeka na kufika (to the maximum). MWANAUME: 1) Aibu hutoweka kabisa 2) Nguvu za mwili huongezeka 3) Uwezo wa kufikiria(IQ) hushuka na kufikia zero
Hapa ni mtu mwenyewe anavyojiweka, haina Jinsia. Mwanaume anakua muathirika ''Vulnerable'' zaidi kwa sababu ya ''Desperation'' yake na focus yake.

a) Kumbe ndio maana Biblia inasema (mwanamume) aziniye na mwanamke hana akili kabisa; kwa sababu kimaumbile na kisaikolojia uwezo wa kufikiri hutoweka!
Kwa sababu zambi nyingine zote anafanya nje ya mwili wake ila uzinzi/uasherati ni JUU ya mwili wake, na afanya jambo litakaloiangamiza nafsi na mwili wake (Maandiko husema)

b) "Mwanamke unaempa mwili wako kupitia tendo la ndoa, ikiwa ana nia mbaya ni rahisi mno kukumaliza kiulaiiiiiiiiiiiniiiiiiii". Katikati ya tendo hili (akili yako inapokuwa sifuri)
Maandiko yanasema kwenye kitabu cha Mika, ''Chunga sana ulimi wako uwapo kifuani mwa Mwanamke''

unaweza kujikuta unakabidhi mshahara wote! Unaweza kujikuta unaahidi kumnunulia gari wakati hata pikipiki imekushinda! Unaweza kuikana familia yako mchana kweupe! Na asikwambie mtu; "Ahadi unazozitoa katikati ya tendo hili zina nguvu kubwa kuanzia ulimwengu wa roho hadi katika fikra. Ndio maana ukidakwa na ukajikuta umeropoka ahadi, Kede kede na hilo litakuganda mpaka ujute!".
maandiko yanasema ''Ishi na Mwanamke kwa AKILI'' so ukikaa nao kizuzu zuzu umekwisha. Maana wana uwezo mkubwa sana wa kutuinfluence na kutu-manipulate.. usisahau hila hila na matazamio ya juu sana..... Walishatamani kuwa sawa na Mungu, imagine?

Pengine la muhimu (kwa wote) ni kujitahidi kuheshimu miili yetu na inapotolewa kutumika basi iwe ni "sadaka ya amani na haki" kwa wale wa halali na wanaostahili
Umeongea kitu cha msingi hapa, ila sio rahisi kueleweka.
 
Halafu mkimaliza tukidai ahadi zetu mlizotuahidi hapo kitandani, mnatujibu kwa jeuri "nilisema kwasababu utamu ulikolea tu - sina kitu"
 
Mimi akili yangu haiendi kokote! Zaidi nitaipoteza ya huyo niliye naye tu....
 
Kitandani ni mahali pa ngono na kupumzisha mwili na sio mahali pa discussion. Kwa wanaume musikubali discussion yoyote kitandani kama kuna swala la kudiscuss na mwanamke lifanyike sebuleni au kama ni wapenzi hamujaoana discussion zote zifanyike mukutanapo kabla yakufika kitandani. Mwanamke ukimuona anakuomba kitu wakati wa romance au wakati wakusex huyo ni mwizi.
 
Hiyo ndo habari ya mujini .... asipokueleza shida zake kitandani unategema atafanikiwa? Unaambiwa 'huna pesa ...hakuna penzi' kama ni penzi kampe mkeo mliyefunga naye ndoa
 
Omygad plz nataka uninunulie samsung galaxy s5 poa mpenzi nitaikununuliya kesho
 
Back
Top Bottom