Usibane sana mtaji ukiwa unasajili Kampuni

Luhamba II

Senior Member
Joined
Mar 22, 2025
Posts
126
Reaction score
186
Fee za usajili wa Kampuni BRELA, zinatofautiana kulingana na capital ya Kampuni.

Kwa capital ya 1M mpaka 4M Brela wataku charge 222,200.

Kwa capital ya 5M mpaka 10M Brela watacharge Tsh. 333,000.

Watu wengi sana wanabana capital ili walipwe fee ndogo lakini hii huleta effect kwenye biashara unapotaka kujipanua au kuleta investor.

Utatakiwa ku amend taarifa zako kila mara, na mara zote hizi utalipia fee Brela.

I hope this helps

Hey, naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe kusajili biashara leseni na Kampuni.

Kama unahitaji consultation zaidi kuhusu usajili wa Kampuni na biashara unaweza kunitumia ujumbe WhatsApp kupitia namba hizi

0678131068

Your Favorite Lawyer.
 
Watu wasajili sole proprietor kwanza wakuze mitaji.

Makampuni makampuni, sifa za kijinga tu
 
1 mil capital 167,200
Above 1 mil to 5mil 247,200
Above 5mil to 20 mil 332,200
Marekebisho kidogo ktk Bei Za brela Kwa kurejea mtaji uliandikwa ktk memart
 
Watu wasajili sole proprietor kwanza wakuze mitaji.

Makampuni makampuni, sifa za kijinga tu
Hii sole proprietor mawakala wanaikimbia, wanasema kwa sheria za tanzania haiwezekani
 
Back
Top Bottom