MSHUAH Member Joined Nov 8, 2023 Posts 17 Reaction score 128 Apr 1, 2026 #1 Usishirikishe kila mtu kwa kila kitu chako, na jifunze kutambua matendo kuliko maneno. Wanafiki huongea vizuri, lakini vitendo vyao ndivyo vinawafichua
Usishirikishe kila mtu kwa kila kitu chako, na jifunze kutambua matendo kuliko maneno. Wanafiki huongea vizuri, lakini vitendo vyao ndivyo vinawafichua
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 58,837 Reaction score 169,677 Apr 1, 2026 #2 Kila mtu ashinde mechi zake
AI BRAINFULL JF-Expert Member Joined Oct 31, 2019 Posts 1,820 Reaction score 4,657 Apr 1, 2026 #3 Kuna mt flan uko kwenye vitengo vya nishat alisema wese lipo lakutosha litafika adi mwez june na hakutokua na mfumuko wa bei ila matendo tu leo yameonesha kua mafuta yatakua adimu na niswala la kidunia
Kuna mt flan uko kwenye vitengo vya nishat alisema wese lipo lakutosha litafika adi mwez june na hakutokua na mfumuko wa bei ila matendo tu leo yameonesha kua mafuta yatakua adimu na niswala la kidunia