Usiache pombe kwa shinikizo la ndugu jamaa wa karibu

instagram

JF-Expert Member
May 27, 2014
2,091
4,716
Ukute unalewa kwa mawazo yako alafu ndugu jamaa wa karibu wanakushinikiza uache pombe japo wao wenyewe wanakunywa ila wanajidai wanakunywa kwa kiasi ila ukifatilia unakuta wanakunywa tu achana nao piga pombe.

Siku utakapofata ushauri wao ndo utaishia kuwa taahira au msukule wao.

Kuna watu wako bize kukuloga ila mapepo yao yanapata tabu na pombe zako hivyo yanafeli kukuangamiza.

Unapooona ndugu jamaa wa karibu ambao hawana mchango wa maana kwenye maendeleo yako ila wako busy kuku karupia kuhusu unywaji wako wa pombe kila mnapokutana wao busy kukufokea uache pombe japo nao unajua kabisa wanakunywa japo kiasi, achana nao wachawi hao.
 
🚮
 
Back
Top Bottom