USIA wa Baba wa Taifa!

USIA wa Baba wa Taifa!

nape tanzania ni nchi mmoja?? Katiba mpya ya zanzibar ya 2010 unaitambua??
 
My foot kiongozi mzima unaandika thread ya kuitetea serikali mbili kwa kutumia mistari minne?
You are so shallow my dear

Kaka, jamaa muda mfupi ujao atakuwa kwenye mdahalo ITV pale Serena Hotel. Tutege masikio yetu ifikapo saa 9.00 alasiri tumsikilize "nguli" huyu wa siasa za Bongo kupitia magamba.
 
CHAMA CHA MAPINDUZI kitakapobadili sera yake ya Muungano wa Serikali Mbili, sera yake mpya itakuwa sera ya Muungano wa Serikali moja. Chama Cha Mapinduzi chenye wanachama wenye akili, na ukweli, na ujasiri, hakiwezi katu kukubali sera ya serikali tatu, kikijua wazi wazi kwamba matokeo na shabaha ya sera hiyo ni kuiua, na kuizika Tanzania. Chama Cha Mapinduzi kikiwa na msimamo huo na wala kisiuonee haya, Tanzania itadumu.

@Nape Nnauye ndiyo kusema umeuona huu wosia leo?

Basi kama umeuona leo ni vizuri ukamshauri Mwenyekiti kwamba namna bora ya kumweenzi Mwalimu JK Nyerere ni kuwa na Serikali moja. (NO TANGANYIKA AND ZANZIBAR).

Lakini mbaya zaidi mpaka dakika hii hakuna mmoja wenu aliyedhubutu au kudiriki kuwa shawisi Wazanzibar waukane Uzanzibari wa kama mlivyowaaminisha Watanganyika.

Dhambi hii ya kushindwa kwenu toka mwanzo yakutokufanya Kampeni ya Serikali Moja Nchi Moja itaendelea kuwa tafuna mpaka chama Kitakapo baki kuwa Jina/historia.

NB.Hamjachelewa na ninaimani Watanzania watawaelewa anzeni sasa hivi kuwa na hoja mbadala -Serikali Moja Nchi Moja na Support mliyokuwa nayo Zanzibar kwa Sasa inatosha kuwavusha kwenye Janga hili kuliko hoja mnayo ng'ang'ania ya Serikali Mbili amini usiamini.
 
CHAMA CHA MAPINDUZI kitakapobadili sera yake ya Muungano wa Serikali Mbili, sera yake mpya itakuwa sera ya Muungano wa Serikali moja. Chama Cha Mapinduzi chenye wanachama wenye akili, na ukweli, na ujasiri, hakiwezi katu kukubali sera ya serikali tatu, kikijua wazi wazi kwamba matokeo na shabaha ya sera hiyo ni kuiua, na kuizika Tanzania. Chama Cha Mapinduzi kikiwa na msimamo huo na wala kisiuonee haya, Tanzania itadumu.

Nape Nnauye,Ni mambo mangapi ya Mwl.Nyerere ambayo aliyasema na kuyaamini mmeyaweka kando?Mahitaji ya wananchi yanabadilika kulingana na wakati,Tume ya Warioba imekusanya maoni ya wananchi,mnashindwa nini kuyaheshimu?Unafikiri CCM ni zaidi ya wananchi?
Kwa taarifa yenu Muungano unapendwa sana na utadumu kwasababu ni wa wananchi,Vyama vya siasa vitapita Muungano utabaki.
 
Last edited by a moderator:
CHAMA CHA MAPINDUZI kitakapobadili sera yake ya Muungano wa Serikali Mbili, sera yake mpya itakuwa sera ya Muungano wa Serikali moja. Chama Cha Mapinduzi chenye wanachama wenye akili, na ukweli, na ujasiri, hakiwezi katu kukubali sera ya serikali tatu, kikijua wazi wazi kwamba matokeo na shabaha ya sera hiyo ni kuiua, na kuizika Tanzania. Chama Cha Mapinduzi kikiwa na msimamo huo na wala kisiuonee haya, Tanzania itadumu.

Nyerere alikuwa sawa sababu lengo la kuwa na serikali mbili lilikuwa maandalizi ya kuwa na serikali moja lakini alipokufa huyu huyu mnayetamba majukwaani eti mnamuenzi ikazaliwa nchi ya pili badala ya nchi moja ambayo aliiacha,kwa ufupi hapa ndiyo tatizo na uwezo mdogo wa kufikiri ambao Mwl.Nyerere aliuona unakuja kuiua ccm ulipoanza kujidhihirisha,tulipata hofu pale tulipoambiwa tuna kansa na ili kujiokoa tukashauriwa tukate kidole cha mguu,tukasema hapana dawa za kienyeji ni bora na akina-"long water" wapo watatunusuru!
Ona sasa kansa inaelekea kwenye goti! Je,napo tupuuze kuukatia kwenye goti na tuendelee kuwategemea akina long-water? Hatufikirii hatari ya kansa hii kufika kiunoni! Tusiogope kuufanyia marekebisho muungano wakati uwezo wa kuongea na nia ipo ili tusifike hatua ambayo kutakuwa na chaguo moja tu,kuvunja muungano.
*Mtu anaenziwa kwa Matendo si kuropoka majukwaani.*
 
Watanzania walishaacha kushikiwa akili na Nyerere. UNAKUMBUKA KALE KA SLOGAN KA ZIDUMU.... ....Tulikataa kuimbishwa hivyo wakati bado sembuse leo! Sasa tunamiliki akili zetu wenyewe
 
nape nnauye,sasa mbona ccm hambadiliki kwenda serikali moja kama mnamzingatia mwalimu nyerere? Acheni unafiki nyinyi ccm.hii nchi ni yetu wote na sisi tunataka serikali tatu sasa. Mtatutisha na hatutatishika;mtatusema hatutasikia.tunataka serikali tatu tu....hakuna zaidi

kaka na sisi tunataka serikali mbili nchii ni yetu sote
 
Tatizo lako bwana Nape huwezi ukaanzisha uzi hapa Jamvini na ukabaki kuutetea kulingana na mashambulizi ya hoja za upande wa pili.

Hizo ni dalili za woga na kutojiamini na hii ni tabia ya karibu wanaccm wote, kwakweli unapaswa kujifunza toka kwa wenzio kama John Mnyika au Tumaini Makene ambao katu hawajawahi kukimbia hoja au Thread walizozianzisha wao wenyewe.

Any way, ikitokea bahati ukarudi hapa jamvini kutetea uzi wako swali langu lilikuwa dogo tu,

Kwamba je hata baada ya kupita miaka 50 bado tuendelee kusubiri miaka mingapi ili tuweze kuungana kamili yaani kuwa na Muungano wa serikali moja?

Je hati za muungano haikutoa miaka kumi ya muungano wa mpito (serikali mbili) ili kuja kutathimini muungano kamili.

Lengo la Muungano lilikuwa ni muundo wa serikali ngapi je nini kinatushinda kutekeleza masharti ya mkataba wa Muungano.

BACK TANGANYIKA
 
CHAMA CHA MAPINDUZI kitakapobadili sera yake ya Muungano wa Serikali Mbili, sera yake mpya itakuwa sera ya Muungano wa Serikali moja. Chama Cha Mapinduzi chenye wanachama wenye akili, na ukweli, na ujasiri, hakiwezi katu kukubali sera ya serikali tatu, kikijua wazi wazi kwamba matokeo na shabaha ya sera hiyo ni kuiua, na kuizika Tanzania. Chama Cha Mapinduzi kikiwa na msimamo huo na wala kisiuonee haya, Tanzania itadumu.

Mkuu mimi pia ni muumini wa serikali moja je hilo mtawezaje kuwashawishi wazanzibar
 
Jitu zima namna hii kuandika 'USIA'...:A S 13:
Nyambafu
 
Nape Nnauye elezea basi namna mtakavotatua kero za muungano zilizoainishwa kwa pande zote mbili.
 
Last edited by a moderator:
hatukatai serikali mbili, bali tunataka serikali ya tanzania imara itakayokuwa nakusanya kodi nchi nzima sio tanzania bara pekee. kama znz mambo yake ya kiuchumi yote watayaondoa katika muungano,Je tuendelee hivyo hivyo tu kisa wosia.?
 
CHAMA CHA MAPINDUZI kitakapobadili sera yake ya Muungano wa Serikali Mbili, sera yake mpya itakuwa sera ya Muungano wa Serikali moja. Chama Cha Mapinduzi chenye wanachama wenye akili, na ukweli, na ujasiri, hakiwezi katu kukubali sera ya serikali tatu, kikijua wazi wazi kwamba matokeo na shabaha ya sera hiyo ni kuiua, na kuizika Tanzania. Chama Cha Mapinduzi kikiwa na msimamo huo na wala kisiuonee haya, Tanzania itadumu.

ALISEMA CCM YENYE WATU WENYE AKILI SASA HIVI GENGE LA MAHARAMIA
1. MUUWAJI WA TEMBO WETU
2.MWIGULU KIONGOZI WA MAUWAJI KWA WAPINZANI
WEWE MWENYEWE NAPE MNAFIKI NA KIGEUGEU MUASISI WA CCJ
CCM SASA SI CHAMA CHA WAKULIMA NA WAFANYAKAZI NI KIKUNDI CHA WAUZAJI WA NCHI YETU, AASISI WA UKABILA, UDINI NA TUMEONA JINSI CCM INAVYOWAFANYA WATZ KUWA MASIKINI SIKU HADI SIKU.
NAPE USITUMIE WOSIA WA NYERERE KWA LOLOTE KWA SABABU UNAISHI KINYUME NA WOSIA WAKE NA UNAPIGANIA TUMBO LAKO TU NA CCM YENU SIKU IYAFIKA WATANZANIA TUTAFYEKA MPAKA WAJuKUU WENU KWA UZANDIKI MNAOTUFANYIA kwa sasa.
 
Warioba anaongozwa na nguvu ya kijiti...muungano wetu kwanza mambo mengine baadae...!!
 
Nape!...mbona huongelei azimio la arusha wakati unajua fika kuwa ni urithi muhimu aliotuachia mwalimu nyerere
 
pumba.

Back
Top Bottom