ccm ni wapuuzi kabisa
nape mwanzoni ulionekana wa maana sana ulipoaamua kutumia akili zako sawasawa na uzalendo dhidi ya kupinga rushwa chamani kwako, hata ukafikia kukorofishana na mzee makamba na uvccm, lakini ulipokubali kuwasaliti vijana wenzako kwa vipande vya lupia, basi ukawasaliti watanzania wanaoitafuta haki na kweli, hakika umepotoka na huna maana tena mbele ya taifa hili, wewe na masisiemu menzako mmeamua makausidi kabisa kuendelea kufanya watanzania kuzidi kuwa masiki, nafukara kabisa, ndio maana hamtaki watu wapate elimu nzuri, wala fursa. Mlaaaniwe milele
leo kwenye sula la katiba ndio mnamkoti nyerere kila speech....
Nikuulize, nipe speech ya nyerere juu ya watu dizaini ya lowasa.. Malecela etc,.. Aliwaambia nini?? Na leo wako sisiemu au mmewafukuza.... Leo hao watu si ndio tegemeo lenu.. Mnawakumbatia kama malaika.. Hakika sisiemu imelaaaniwa
1. Nyerere alitetea rushwa, kama leo mnavyofanya?? Epa, richmond, kagoda etc mmechukua hatua gani??
2. Nyerere alianziasha azimio la arusha kwanini mmeliua?? Nani mmemuwajibisha kwa hilo
3. Kwanini nyerere hakuuza migodi wakati ule, mbona nyinyi leo mmeiuza imebaki mashimo tu, nchi imefaidika nini??
4. Nyerere alipambana na adui maradhi, ujinga, na umaskini, nyinyi mnapambana na nini>? Nchi inamiaka 50 watoto wanakaa nchini, mpaka leo hospitali hazina madawa, wala vitanda, watu wanakufa kwa njaa
5. Nyerere alitetea elimu ya kujitegemea, nyinyi leo ndio mmeona kupitia elimu ndio muharibu kabisa shule za serikali, na huku nyinyi maintarahamwe mkiharibu ubora wa elimu ,mkianzisha shule zenu binafsi, ili mtoto wa maskini abaki maskini hivyohivyo, halafu wa kwenu wakasome shule nzuri na wazidi kutawala..
Nailaaani sisiemu kwa nguvu zangu zote.