Ushuru ya kuagiza, ingiza bidhaa kutoka nchi za nje

Dec 23, 2015
7
0
Kuna mmoja wenu hapa alishawahi kupokea mizigo ya bei rahisi kutoka nje ya nchi na wanaokusanya ushuru hawakuhitaji makato?Je, kama hivo mizigo ilihitaji kulipiwa kiasi gani mpaka wanaokusanya ushuru wasihitaji malipo?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom