Ushuhuda wangu mimi baba kijacho

Ushuhuda wangu mimi baba kijacho

Mimba ya week moja inastua kidogo....

Ila natamani kujua kama Pastor aliishia kwenye maombi tu.........!!!

asante kwa kashfa mkuu nakuombea siku moja uje kuelewa hichi nachosema na isiwe too late
 
Mmemuona Pastor, halafu ndani ya wiki mambo yakajibu?! Huh! Anyway, never mind. Hongera kwenu bro.

Mambo ya rohoni yatambulikana kwa jinsi ya rohoni na ni ngumu sana kwa mtu asiye wa rohoni kuyaelewa.
Kilichotokea alichosema pastor sisi hatukua na tatizo na hospital pia walishasema ila kulikua na roho za mauti zinazoua mimba ikiingia.
So kwenye maombi yeye alizuia na kukemea roho za mauti hadharani kanisani nami nikiwemo jumapili ya saa 7 mchana na akasema hakuna uharibifu tena nendeni mkaongezeka.
Hiyo ilikua siku ya 21 kwa wife tumerud home after a week kupima kitu imo sa kisichoeleweka hapo kipi? Au kupenda ku challenge kila kinachokuja? Sio lazima kuamini ila mimi muhusika yaliyonitokea ndo nimesema
 
Nimeamua kuamini kuwa,hiyo mimba ilikuwepo kabla ya maombi..hata hivyo,hongera sana.

Na ndio alichosema pastor kuwa mimba zinaingia ila adui anaziua na hiyo inasababusha wife apate maumivu makali kila bleed so akakemea hizo roho za mauti ziharibuzo mimba na ndo mana akasema kabisa nendeni mkafurahie akijua hakuna tena uharibifu. Cha kujiuliza na ni kwann dis month baada ya prayers na sio kabla. Glory to God hata kama huamini
 
haya bana baba mchungaji bila shaka unawasaidia wengi pia hapo ulipo

Mimi sio mchungaji, mimi sio shekhe, mimi sio mkristo, mimi sio muislam, mimi sio m'budha, mimi sio, mhindu, mimi sio mpagani.
Mimi ni mimi! Ila ukiamini tu kwamba nikikuwekea mikono matatizo yako yataondoka, ndio vivyo hivyo itakavyokwa.

Jamaa alijitibu mwenyewe pasipo kujua
 
Kwa ambae hajawahi kupata hii challenge ni rahisi sana kukejeli na kusema chochote hasa kuzani kuwa pastors wanafanyaga sivyo kwa wake za watu ila Mungu yupo na wachungaji waaminifu wapo jamani.
 
Mpendwa kwanza hongereni sana wewe na wifi. Hakika hakuna jambo lolote Mungu asiloliweza

La muhimu zaidi, mnamuhitaji Mungu muda huu than ever. Umeona vita yenu ilivyo, mkianguka tu kiimani au imani yenu ikipoa, usije ukashangaa mimba ya mkeo inaharibika ikiwa kubwa (God forbid). Hizo roho haziendi mbali, mkizipa tu nafasi zinarudi kwa nguvu zaidi na kufanya uharibifu mkubwa zaidi kwenu. Lindeni ushuhuda wenu, ombeni sana, toeni sadaka na chochote mnachoweza kifanya as long as kinazidi kuwaweka karibu na Mungu. Mungu amlinde mkeo na mtoto wenu tumboni. Amen
 
nilikuaga naskia tu watu wanashuhudia miujiza leo kwangu nimejionea. Heshima yangu ilishuka sana na nilikua najiona kama sio mwanaume vile
Kwanza hongera ila endelea kusali na kuomba maana mimba si mtoto mkuu. Pili heshima ya mtu hailetwi na mtoto kama mtu anaamini hivyo atakuwa na matatizo ya kufikiri. Suala la mtoto ni majaaliwa tu.

Mungu awajaalie kwenye safari yenu.
 
Na ndio alichosema pastor kuwa mimba zinaingia ila adui anaziua na hiyo inasababusha wife apate maumivu makali kila bleed so akakemea hizo roho za mauti ziharibuzo mimba na ndo mana akasema kabisa nendeni mkafurahie akijua hakuna tena uharibifu. Cha kujiuliza na ni kwann dis month baada ya prayers na sio kabla. Glory to God hata kama huamini

Unarudi pale pale mpendwa,mimba ilikuwepo. Mchungaji akaombea na baada ya maombi ikaonekana, ikiwa ni baada ya kufunguliwa vifungo vyote vilivyokuwa vinazuia kabla ya maombi. Mungu ni mwema..
 
Imani yako na mkeo ilitosha na ilishafanya apate mimba maana mimba kuonekana ndani ya wiki inamaanisha conception na implantation ilifanyika 7-10 days before . Unasema roho ya kutoka mimba ?so unamaana mkeo alikuwa anashika Mimba zinatoka? sijaelewa hapa?
Mchungaji ameenda tu kuconfirm kilichotokea. Binadamu tuna so much power if we go to God in faith and Confidence . Sina shida na maombezi ila nasikitika kuona mtu anategemea sana mwenzake amuombee . Endeleeni kufunga na kuomba mkijua uponyaji na miujiza mikubwa huletwa na wewe mwenyewe . Mbarikiwe !
 
Mpendwa kwanza hongereni sana wewe na wifi. Hakika hakuna jambo lolote Mungu asiloliweza

La muhimu zaidi, mnamuhitaji Mungu muda huu than ever. Umeona vita yenu ilivyo, mkianguka tu kiimani au imani yenu ikipoa, usije ukashangaa mimba ya mkeo inaharibika ikiwa kubwa (God forbid). Hizo roho haziendi mbali, mkizipa tu nafasi zinarudi kwa nguvu zaidi na kufanya uharibifu mkubwa zaidi kwenu. Lindeni ushuhuda wenu, ombeni sana, toeni sadaka na chochote mnachoweza kifanya as long as kinazidi kuwaweka karibu na Mungu. Mungu amlinde mkeo na mtoto wenu tumboni. Amen

umeongea vitu sensitive sana ndugu. Thanx alot ntazingatia yote hayo. Haya ndo mambo nahitaji kusikia kwa sasa
 
Back
Top Bottom