Ushuhuda wangu mimi baba kijacho

Ushuhuda wangu mimi baba kijacho

nilikuaga naskia tu watu wanashuhudia miujiza leo kwangu nimejionea. Heshima yangu ilishuka sana na nilikua najiona kama sio mwanaume vile

Mungu ni Mwema. Yote atupayo yawe yanatufurahisha au kutuumiza ni mema mbele zake.

"Kila kutoa kuliko kwema, na kila kitolewacho kilicho kamili hutoka kwa Bwana." - Yakobo 1:17

Hivyo basi, tumeagizwa kumshukuru siku zote na kwa mambo yote (Waefeso 5:20).
 
mambo ya rohoni yatambulikana kwa jinsi ya rohoni na ni ngumu sana kwa mtu asiye wa rohoni kuyaelewa.
Kilichotokea alichosema pastor sisi hatukua na tatizo na hospital pia walishasema ila kulikua na roho za mauti zinazoua mimba ikiingia.
So kwenye maombi yeye alizuia na kukemea roho za mauti hadharani kanisani nami nikiwemo jumapili ya saa 7 mchana na akasema hakuna uharibifu tena nendeni mkaongezeka.
Hiyo ilikua siku ya 21 kwa wife tumerud home after a week kupima kitu imo sa kisichoeleweka hapo kipi? Au kupenda ku challenge kila kinachokuja? Sio lazima kuamini ila mimi muhusika yaliyonitokea ndo nimesema

asipokuelewa kwa hayo maelezo yako basi analake jambo si bure.....hongera sana kaka.
 
hongera sana bora ulisikiliza ushauri wangu ukaenda kwa gwajima kuliko ulivyotaka kwenda kwa sangoma
 
Kuwa nae mbali huyo mchungaji, mana vinginevyo ataomba kuja kuiombea mimba ikue vzr....mwishowe ukawa baba mlezi wa mtoto na sio baba mzazi.:angry:
 
Kuwa nae mbali huyo mchungaji, mana vinginevyo ataomba kuja kuiombea mimba ikue vzr....mwishowe ukawa baba mlezi wa mtoto na sio baba mzazi.:angry:
 
Duh,hongera sana...
Kwa faida ya wote..weka jina LA pastor na kanisa lake..
 
Kuna mchungaji mmoja yeye anaomba kwa kunyonya nyonyo za wadada..."breast sucker"

Hongereni..
 
hongera sana kiongozi.... usichoke kuomba maana bado adui yenu anawatafutia njia mbadala awamalize
 
sina nia mbaya ila ukuacha nafac yoyote kati ya mkeo na bwana pastor!!!?
 
asipokuelewa kwa hayo maelezo yako basi analake jambo si bure.....hongera sana kaka.

asante Ely ndo vijana wetu hawa hatuna namna tunajitahidi kuwaelewesha kwa upendo lakini wapi wao wanaamini kila kitu ni ujanja ujanja tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom