Nilianza kujiona kama yesu nikaanza plan ya kutokuwa na demu, alaf wale jamaa zangu ninao vuta nao sigara pori ndo nikawa nawaona kama vile wanafunzi wangu,,, kama vile yesu alivyokuaga na wanafunzi wake,,, nilianza kudata imani ya dini ilipanda sanaEnhe ikakufanya nini baadae bange mzee? [emoji28] ebu tuambie....
Let's meet at the top, cheers [emoji1635]
Habari zenyu wana JF naamini mko salama na moja kwa moja ntakwenda kwenye Mada.
Kinyume na madhara ambayo watu wameyapata na ambayo watu wanahubiri kila siku juu ya pombe, kwangu imekuwa tofauti kwani kila ninapokunywa pombe (light beers) huwa nafanya mambo ya Msingi kuliko ninapokuwa sijanywa.
Sinywi pombe kulewa sana huwa nakunywa bia mbili tatu hapo nikiingia kazini ntakuwa na LUGHA nzuri sana kwa wateja, attention to details, na pia nakuwa naweza ku-avoid minor errors.
Sio hayo tu lakini pia najikuta mtu mwenye huruma ya kusaidia watu na kuwasaidia wafanyakazi wenzangu pale wanapokwama na mambo mengine kama hayo.
Mwisho napenda kusema kuwa sina mpango wa kuacha pombe kwa sababu inanifanya kuwa productive, kufurahia familia, kuwa mstaarabu n.k
ONYO: Unywaji wa pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako.
Aisee! 😂...Nilianza kujiona kama yesu nikaanza plan ya kutokuwa na demu, alaf wale jamaa zangu ninao vuta nao sigara pori ndo nikawa nawaona kama vile wanafunzi wangu,,, kama vile yesu alivyokuaga na wanafunzi wake,,, nilianza kudata imani ya dini ilipanda sana
kuna aliyekuzuia kunywa?maana kwenye katiba au biblia hujazuiwa..
Naomba nkununulie double kick mkuu! Uanze nayoSijasema nimezuiwa kunywa pombe, nimesema nina tamani kuonja pombe...
Naomba nkununulie double kick mkuu! Uanze nayo
Maumivu ya kichwa huanza taratibu........Hongera ila sasa kua makini usije ukajisahau pombe ikakutawala kias ukashindwa kuishi bila pombe.
sasa unakwama wapi?Pombe ipo ndani, ni swala la mimi kuamua kujimiminia tu kwenye glass...
sasa unakwama wapi?
we ni me au ke?Naogopa reaction yake baada ya kunywa, sijawahi kuonja pombe..
we ni me au ke?
piga beer mkuuMimi ni mwanaume.
piga beer mkuu
[emoji16][emoji16][emoji16]Kuna mgeni nilimkaribisha anatumia wine, sasa chupa zimebaki hapa natamani niendelee nazo ila nafsi inakataa. Alinifanya nitamani kunywa pombe wakati nipo nae. Tatizo anaongea sana akinywa pombe, sasa na mimi sio muongeaji sana..naona nikionja na mimi nitakuwa chiriku.
[emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu kama hujawahi kunywa, chukua hayo mabaki ya mgeni ( wine) katupe jalalani, usionje achana nayo.PERIOD