Ushuhuda wangu kuhusu maambukizi ya V.V.U

Ushuhuda wangu kuhusu maambukizi ya V.V.U

Kakwambia kabisa ameathirika na wewe bila wasiwasi ukadumbukiza pekupeku? Mbunye ni noma
Mbunye tamu wewe[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]   [emoji100][emoji124][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Kwa jinsi inavyoonekana hyo mbunye ni tamu sana basi itafutieni jina zuri mliache hilo la mbunye naona kama halina ubora kulinganisha na utamu mnaosema.
Vitu vitamu mara nyingi huwa na majina mabaya!
Hahahahaha! Acha iitwe mbunye tu.
 
Kwa jinsi inavyoonekana hyo mbunye ni tamu sana basi itafutieni jina zuri mliache hilo la mbunye naona kama halina ubora kulinganisha na utamu mnaosema.
Hakuna jina moja linaloweza kukidhi hadhi ya hicho kiungo kwakweli[emoji12] ndio maana ina majina mengi kulingana na shape, location yake na ladha yake. Nafikiri ndio kitu kinachoongoza kwa kuwa na majina mengi duniani[emoji40] [emoji85] [emoji125]
 
Miezi 9 iliyopita katika pita pita zangu nilifanikiwa kukutana na binti mmoja mrembo muhudumu wa afya.

Nikaanza kuchombeza chombeza na hatimaye tukazama kwenye dimbwi zito la mapenzi.

Penzi likamea, tukawa tunatembeleana Mara kwa mara,yeye akija kwangu napoishi na Mimi kwenda kwake napoishi.

Kipindi chote hiko tulichokuwa tunatembeleana hatukuwahi kuvunja amri ya sita.

Bila kujua hili wala lile siku moja nikajikuta na hamu sana na mgegedo.

Nilikwenda kwake siku ile visa vya hapa na pale vilianza ili tu,tunda tamu liliwe.

Lakini kilichonishtua,ni pale nilipoona mwenzangu mwitikio wake ni mdogo mno,kadri nilivyokuwa najitahidi kumuhamasisha.

Nikajikuta nakuwa "bored" sana,baada ya kugundua kuwa amenifanya kuwa "bored" akaniambia kuwa kuna kitu anataka kuniambia.

Nikamwambia niambie,akawa anasitasita,basi nikamwambia kama huwezi kunitamkia kwa mdomo nitumie sms nikurahisishie kazi.

Kweli akakubali,akanitumia sms aliyoniambia kuwa ana H.I.V ,alivyoniambia hivyo nikamfariji na nikawa siamini,nikahisi labda anataka kuninyima papuchi.

Mwisho tukavunja amri ya sita bila kinga.Maana kwa muonekano wake aliyokuwa nao yule binti huwezi amini,
Ameumbwa akaumbika kisawasawa.

Siku zilizofuata nikahitaji nithibitishe kauli yake ya kusema kuwa ameathirika,

Nikamshauri tukapime,akaniambia kuwa haitabadilisha majibu,lakini alikubali tukaenda kupima na majibu yakasoma kuwa ni positive kwake na Mimi negative.

Nikajikaza kiume baada ya yale majibu na kutokumuonesha kuwa nimestushwa sana.
Na nikawaza sana kuhusu hali yangu,endapo nikienda kucheki baada ya siku 90 nikawa positive na Mimi.

Kiufupi nilichanganyikiwa sana,kila jambo niliona sina uwezo wa kulifanya,
Nikamuuliza yule binti anaishije,akaniambia anatumia dawa za ARV mwaka wa tano sasa.na kila siku ana Meza dawa.kwa kuwa ni muhudumu wa afya anazingatia masharti ipasavyo za matumizi ya ARV.
Nikawaza sana kupanga foleni ya kupata vidonge vya ARV na kumeza kila siku.

Nikakubali matokeo litakalokuwa na liwe,nikasubiria siku 90 zipite nikaenda kupima nikaonekana sina maambukizi,nikasubiria siku 90 tena nikaenda kupima nikajikuta sina maambukizi.

Kutoka pale nikamrudia mungu,nikaanza mchakato wa kuoa kabisa.

SOMO NILILOPATA
1-Kweli ARV zinasaidia kupunguza maambukizi ya v.v.u,kama asingekuwa mtumiaji mzuri wa ARV ningekuwa nimeshanasa sasa.

2-Huwezi kumjua mwenye v.v.u kwa kumtazama.

3-Kama una uwezo wa kuoa au kuolewa ni heri ukafanya hivyo mapema kuliko kurukaruka,utajikuta unarukia waya wa umeme.

4-ukishindwa kabisa kuoa,kaa mbali na ngono kabisa hadi utakapo oa au kuoelewa.

5-Ukitumia kondomu basi piga vigoli wiwili au kimoja cha kawaida,maana huwa zinapasuka.

6- Ni heri kupima afya kabla ya kugegedana.
Sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbunye tamu wewe[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]   [emoji100][emoji124][emoji125][emoji125][emoji125]
Kutokana na utam wake, [emoji38] [emoji38] mbunye zingekuwa zinauzwa kwenye masoko kama matunda, [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] basi mi ningenunua nyingi sana, ili nifanye JUICE na kuweka kwenye FRIDGE[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]   [emoji100][emoji124][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hahaaa,mbiti nikikufuata ntakupata lakin? mimi naogopa saana kuangukia pua ujue



hahahah baki huko huko ! nilikua nakuonesha huyu nae anasema raha ni kufatwa pm sio uniite mm nije hapana !wewe ndo mwenye shida !lol
 
Yaweza kuwa umenusurika kwa sababu anatumia ARV, lakini pia tofauti za kimaumbile zinawaweka jinsia KE kwenye hatari kubwa zaidi kimaambukizi ukilinganisha na jinsia ME.
 
Yaweza kuwa umenusurika kwa sababu anatumia ARV, lakini pia tofauti za kimaumbile zinawaweka jinsia KE kwenye hatari kubwa zaidi kimaambukizi ukilinganisha na jinsia ME.
Sahihi kabisa! Kuna mtaalamu mmoja alishawahi kutoa ufafanuzi humu,ni jinsi ARV zanasaidia kupunguza maambukizi ya ukimwi.
 
Ha haaa haya bwana. Hakuna muhongaji hapo
Nipo mimi hapa[emoji15]

[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]   [emoji100][emoji124][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Afadhali, wewe ndiyo unajua kutumia rasilimali zilizo karibu, usikubali kufa masikini!
Tatizo hawapo. Tena enzi hizi za magu mweh! Hata buku huongwi
 
Back
Top Bottom