Kuwa smart kivipi? Awe ananyosha nguo na perfume ama aje?
mimi ni msichana bado sijaolewa, kabla sijasema kama natafuta mchumba au la, naomba kuuliza kama kuna aliyewahi kupata mwenzi humu na wapo wanaisha vizuri.
he he he loh we sio baazazi?Cc: Kaizer na mabazazi wengine.
Asigwa na Jerrymsigwa mchague mmoja wapo they are your perfect match,vijana wacheshi,smart,wanajua kupenda,ku handle hela wanamwaga nje nje all in all ni MA HUSBAND MATERIAL
basi mwambie nafasi zipo ili zilizopo ni zile za yeye awe anagharamia matumizi ya nyumbani na sio kuchunana-kwa sababu yeye ndo yuko in needNafasi ya 'small house' akitaka ipo!
mwekundu mpe msaada huyo bint acha jokes, ukute kashapita 28years na mlishawasema mara hawaoleweki, bla blaa all -ve just kuwa >27,we unaleta utani.
he he he loh we sio baazazi?
really?since when? Mentor is single but not lonely!!!Mentor ni mume wa mtu!!
toa shuhuda yako basi
wewe ni wadini gani?
smart kwenye uchaguzi wa huyo muhusika maana kila kitu huku ni fek so ni vizuri kama utampata huyo muchumba humu mpeane profile za ukweli na pia msiishie kugegedana uwe makini ikiwezekana mkutane live kwenye public places kila mnapopanga date ili umfahamu vizuri.
narudia tena uwe makini hawa watu ni waongo acha kabisa
yamewahi kukukuta nini?
signature yako nayo inahusika hapa.......... naongezea kidogo , ,,,,,,,,,,,,,
"you cant go around the and expect not to sweat"
really?since when? Mentor is single but not lonely!!!
mimi ni msichana bado sijaolewa, kabla sijasema kama natafuta mchumba au la, naomba kuuliza kama kuna aliyewahi kupata mwenzi humu na wapo wanaisha vizuri.
basi mwambie nafasi zipo ili zilizopo ni zile za yeye awe anagharamia matumizi ya nyumbani na sio kuchunana-kwa sababu yeye ndo yuko in need
Umesema???