Ushuhuda wa kweli wa kilichonipata


Uchawi upo, dawa ya kutopatikana na janga kama hili ni kuwa mcha Mungu, have no grudge/offense against any person, and attend any living church as Christianity is relationship not religion!
 
Hii ilikuwa mwaka gani maana kuna matukio kwenye stori yako yanajochanganya sana...
Je ni kabla ama baada ya kujiunga jamii forums?
 
Do, asante kwa somo zuri la maisha, watu Wa aina hii mjini wapo wengi sana mungu atunusur tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…