USHUHUDA : Ukiwa na hela huzeeki mapema

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
Umeshawahi kwenda kijijini na kukutana na classmets wako wa shule ya msingi ambao hawakufamikiwa kuendelea na shule kutokana na matatizo mbalimbali ( uchumi, kufeli, ugonjwa, familia nk ) ?

Unawaonaje / unamuonaje mwenzio huyo ?

Ukweli wanakuwa wamezeeka haraka sana. Hapa nazungumzia wale wasio na vipato vizuri. Nazungumzia wale wenye maisha ya kuunga unga ama wakulima.

Unaweza kuamwamkia shikamoo.

Hela ni sabuni ya roho.

Agemets wa akina Kikwete, Lowasa, Malecela, Mzindakaya, Mwinyi, Msuya nk ukiwaona utashangaa sana.
 
Apana maisha mazuri ndo sabun ya roho unaweza kuwa na pesa mingi ila maisha mabaya
 
We jamaa acha dharau..kuja dar nakupokea hako ka mshahara ka 300k kwa mwezi..ndo unataka kuwazeesha wenzio tuliopo kolomije..
 
REKEBISHA UZI WAKO MKUU,,,sema UKIWA UNAJIPENDA HUZEEKI....wapo watu wana PESA lakini HAWAJIPENDI....atakosaje KUZEEKA?
 
Unakua na pesa za makafara, kila kukicha unawaza utamuua nani..kwann sura isijikunje???.

Alafu kuishia lasaba..kuendelea nashule hakumpi mtu Pesa !!.

Hujawah ona wee na degree yako ya Ualimu wa K-L unazidiwa maisha na Muhuni aloishia lasaba, akaamua kujilipua kwenye migodi uko na Kilimo???
 
Nadhani kula vizuri,Mzee Mwinyi namkubali sana,Mungu aendelee kumsimamia,kibabu cha miaka 100 kasoro 6 lakini bado kina kimbia Marathon..
 
Watu wengi tunaishi bila kuelewa our greatest need here on earth.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…