Ushuhuda: Tuache kutafuta mahusiano MITANDAONI

Duh! Kumbe tunatakiwa kukubali baada ya mda gan embu nisaidie nisije kukimbiwa mkuu.
Jamani angalau relationship ijengeke. Mtembeleane mara 2 au tatu. Mjuane kiasi. Msomane. Mujue likes za mwenzio etc. Sasa mnakutana leo. Kesho unaombwa mzigo na unatoa. Jamani. Kwani mlikutana Coco beach usiku ? Hakika mwenza mtamu ni yule aliyeko moyoni. Sidhani kama mtu anaweza kumuweka barmaid moyoni. Akimaliza nae ni malipo na kusahsu
 
Mhhh. Siku ta 3 unakula vitu bila hata kanda mbili na mabusu juu. Kama si urongo basi wewe huna akili. Kikwetu msichana akikubali ndani ya siku 3 kimbia kabisa. Tena achana naye.
ujana maji ya moto wanasemaga
 
Hujawahi kusoma hadithi ya Mua uliozamisha meri....? Kama umeisoma huwezi kustaajabu hili....nyege ni kitu kingine kabisa
 
Mi mwenyewe nimekutana na msichana mzuri mtandaoni na ana tabia njema hadi raha. Social media zinarahisisha connections ila inategemea na akili ya mtumiaji anaiendesha vipi halmashauri ya kichwa chake!
wazuri wapo na madungaembe pia yapo....
 
Mhhh. Siku ta 3 unakula vitu bila hata kanda mbili na mabusu juu. Kama si urongo basi wewe huna akili. Kikwetu msichana akikubali ndani ya siku 3 kimbia kabisa. Tena achana naye.
Sio siku tatu msichana unaweza kutana nae barabarani ukaingiza vocal na akageuza kwenda geto na ukamgegeda kama kawaida
 
Mi mwenyewe nimekutana na msichana mzuri mtandaoni na ana tabia njema hadi raha. Social media zinarahisisha connections ila inategemea na akili ya mtumiaji anaiendesha vipi halmashauri ya kichwa chake!
Inawezekana kwa sababu tabia ya mtu ni ya mtu na ipo kwa mtu. Kuna wasichana nimalaya na hawana fb wa jf wa insta. Sio kweli kwamba tabia mbaya zinapatikana mtandaoni tu. Wapo mtandaoni wanatabia nzuri sana na wapo wenye tabia mbaya. Hali kadhalika wapo mitaani wanatabia mbaya na nzuri pia
 
kwa hiyo mkuu,saivi uko kwenye gridi ya taifa?
 
pole sana.Ni ujumbe mzuri sana kwa jamii
 
basi unakuta ma player kama hawa wanacheza vibaya lakini hawapati ukimwi,wewe tulia mumeo anakueletea ukimwi ndani..life is NOT fair
 
Mimi mwenyewe nimepata mke mtandaoni tena hapa jf
Hongera sana mkuu Mungu awape maisha marefu na yenyewe furaha na mafanikio kedekede,hakika watu wanakutana popote na kutimiza malengo muimu kujitambua na kuelewa unataka nn,hongera once again.
 
Kwani wanawake waliopo mitandaoni si ndio hao hao waliopo huko uraiani?

Au mleta mada unadhani kua hawa wanawake waliopo mitandaoni wao hua wanaishi mitandaoni tuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…