tatizo linakuja kwa ukosefu wa maadili, wanawake kuvaa nguo zisizoleta heshima machoni pawatu, tatizo jingine ni wasanii wa bongo fleva na bongo movie hawa wamekua mashetani wakubwa kulihangamiza taifa hili,kwa nyimbo zao na filamu zao zinazo hamasisha zinaa,
kupitia hawa taifa linaangamia kupitia hawa wasanii sasa ni vyema serikali ikatunga sheria za kuthibiti maadili,nchini maana hakika taifa litaangamia kwa hawa madevo worshipa tukiacha mambo haya tutaangamia,
tatu kutungwe sheria ya mavazi kwa wanawake utamkuta mwanamke amevaa nguo ambazo zinaamsha vichocheo vya zinaa na wanaume wengi kwa sasa uvumilivu umewapita, mimi nakumbuka sana maadili ya miaka ya zamani sana na haya yana hathiri sana ndoa,
naomba wale wote wanao guswa na tatizo hili tupaze sauti zetu ili serikali,ihamke na kuchukua hatua, kwa kutunga sheria kali ili kuleta utamaduni wa heshima ambao kwa kupitia wasanii nchi inapelekwa jehanamu,