kama alkuwa kwenye siku zake za hatari ukammwagia wazungu jiandaeHilo linawezekana vp mkuu?
Mmhmwanaume ku do na msichana akiwa ktk hali hiyo si tatizo na si kosa la mvulana bali ni msichana mwenyewe.Saikolojically,msichana au mwanamke akiwa kwenye p hataki mwanaume ajue unless mpo me na ke.Ukiona anajileta na anataka wakati yupo ktk hali hiyo huyo ana matatizo.Wapo waliojaribu kupata uja uzito wakashindwa na wanaaminishwa kuwa kama akitembea na mwanaume ktk kipindi hicho badi shida na matatizo yao yameisha.hivyo mleta mada huenda ulikuwa unamtibu huyo binti bila wewe kujijua.
She is the girl I appreciate...angekuwa mwingine singeweza kabisa...hata niduh na mademu wengine still moyo wangu bado unamkumbuka yy tuUgwadu mmbaya sana,,,usikae sana bila kugegeda madhara ndo kama hayo unapiga akiwa mestru
Kwenye uzinzi hamnaga diniKimwili yaeza kuwa hamna madhara, kiroho (kama una dini) damu ni maagano tena mazito utahitajika kuyavunja kwa sala nyingi or else uishie kumuoa.
Ni kama agano flani. ......Duh...kwanini mkuu
Ngiri inakuhusu! Ni swala la muda tu kuwa na subira.Habarini wakuu...nisiwachoshe ngoja niende kwenye mada kama ilivyotajwa hapo juu..aisee nina kademu kangu kalikuwa kanasoma college moja hivi huko kati mwa nchi..juzi juzi kamekuja geto kunicheck..sasa kamekuja kakiwa p,basi sababu kapo kwenye hali hiyo najua hatuwezi fanya kale kamchezo aiseee...basi banaaa ni usiku mnene du analalamika anaumia na hawezi vumilia wala zuia hisia zake anahitaji mgegedo...kiukweli tulikuwa hatujaonana muda mrefu kidogo...akaamka akaenda zake kuoga akarudi then tukacheza....tena kavu kavu maana hatujawahi tumia kondom...nilimgegeda mtoto alifurahi sana na nili enjoy kwa kweli...tulivyomaliza tukaenda kuoga tukalala. .maisha yakaendelea kama kawa...eti sasa nataka kujua kwa wenye uzoefu hiyo kitu ina madhara gani?......mapenzi upofu banaaaaaaaa