Ushuhuda...Nimefanya mapenzi na mwanamke akiwa P

ikiumasema

JF-Expert Member
Oct 9, 2015
663
1,000
Habarini wakuu...nisiwachoshe ngoja niende kwenye mada kama ilivyotajwa hapo juu..aisee nina kademu kangu kalikuwa kanasoma college moja hivi huko kati mwa nchi..juzi juzi kamekuja geto kunicheck..sasa kamekuja kakiwa p,basi sababu kapo kwenye hali hiyo najua hatuwezi fanya kale kamchezo aiseee...basi banaaa ni usiku mnene du analalamika anaumia na hawezi vumilia wala zuia hisia zake anahitaji mgegedo...kiukweli tulikuwa hatujaonana muda mrefu kidogo...akaamka akaenda zake kuoga akarudi then tukacheza....tena kavu kavu maana hatujawahi tumia kondom...nilimgegeda mtoto alifurahi sana na nili enjoy kwa kweli...tulivyomaliza tukaenda kuoga tukalala. .maisha yakaendelea kama kawa...eti sasa nataka kujua kwa wenye uzoefu hiyo kitu ina madhara gani?......mapenzi upofu banaaaaaaaa
 

BIGstallion

JF-Expert Member
Sep 13, 2016
6,370
2,000
Duh period mi naona ni extremist..si unamsubili anamaliza mambo yake mnaendelea mwishowe utachimba ata chumvini tenaaaa
 

ikiumasema

JF-Expert Member
Oct 9, 2015
663
1,000
Kimwili yaeza kuwa hamna madhara, kiroho (kama una dini) damu ni maagano tena mazito utahitajika kuyavunja kwa sala nyingi or else uishie kumuoa.
Mmh ....ni mtu wangu wa siku nyingi sana...kuoana sometimes ni majaliwa....now sijui nifanye lipi kati ya hayo mawili kumuoa bado ni 50-50 aiseee
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom