makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 28,114
- 80,976
We acha tu ndugu yangu, lakini ndio hivyo nimefanikiwa kuiacha..
Kitu pekee siwezi kuacha, hii ni starehe yangu mpaka kifo ni kwichi kwichi, hapa nimemueleza tu mama watoto mtarajiwa kuwa mumeo hii ndio starehe yangu, sio kuchepuka, la hasha, ila nikulitenda like tendo, hivyo kama si mpenz wa hii shughuli ajiandae kisaikolojia japo naamini tukifanya atanogewa tu.. Hivyo asishangae yupo jikoni akapelekewa moto, bafuni n.k
Wataalam na wazoefu waliokuwa ndani ya ndoa wananiambia nitaizoea, sasa sijui kwa muda gani, sababu nishawahi kuishi na mwanamke takriban mwaka na ushehe na speed haikuwa imepunguwa... Kila mara tukitenda tendo pendwa ni kama tumeanza jana yake.