Ushuhuda: Namna nilivyoacha punyeto, sigara na betting moja kwa moja

Mmmmh we hata familia e
Waweza iweka bond

Sent using Jamii Forums mobile app
We acha tu ndugu yangu, lakini ndio hivyo nimefanikiwa kuiacha..

Kitu pekee siwezi kuacha, hii ni starehe yangu mpaka kifo ni kwichi kwichi, hapa nimemueleza tu mama watoto mtarajiwa kuwa mumeo hii ndio starehe yangu, sio kuchepuka, la hasha, ila nikulitenda like tendo, hivyo kama si mpenz wa hii shughuli ajiandae kisaikolojia japo naamini tukifanya atanogewa tu.. Hivyo asishangae yupo jikoni akapelekewa moto, bafuni n.k

Wataalam na wazoefu waliokuwa ndani ya ndoa wananiambia nitaizoea, sasa sijui kwa muda gani, sababu nishawahi kuishi na mwanamke takriban mwaka na ushehe na speed haikuwa imepunguwa... Kila mara tukitenda tendo pendwa ni kama tumeanza jana yake.
 
Pole... Afya yako ipo matatani kivipi!? Hauli vizuri sababu ya hizo lumbulumbu hivyo afya inazorota(lumbulumbu inamfanya mtu awe aio mlaji, ama awe mnene kupitiliza kwa kula kula hovyo vitu vya sukari) , ama hizo lumbulumbu zinakuletea maradhi kama meno ama kisukari(allah akuepushe)

Kama ni afya inazorota onana na daktari akueleze vyakula unavyopaswa kula, ndio uwe unatembea navyo.. Mfano kwenye gari utembee na vitu ambavyo ukila vina faida mwilini, kama vile tende, ndizi, matunda kama zabibu n.k, na kama ukiweza ufanye mazoezi hii itakuongezea hamu ya kula.

Mie pia lumbulumbu ni matatizo yangu lakini sasa nimeweza kidogo kujikontroo, kioindi nikiwa sina mazoezi naweza kuka mlo mmoja tu wa maana, ikawa ndio nitolee hiyo, kiasi sasa nahisi dalili ya vidonda vya tumbo (allah atuepushe na haya maradhi) kwa kuligundua hilo, nikaonheza bidii ya mazoezi, atleast sasa napata milo miwili ya nguvu ama mi3 kabisa.. Nakula kula lakini vitu ninavyohisi vina manufaa mwilini, ndani tende hazikauki, halafu nje nakula kula vimachungwa, mara ndizi, n.k
Kingine kama ww si mpishi mzuri basi tafuta mpishi mzuri awe anakupikia msosi ule unaotaka ww, sababu mara nyingi watu wa lumbulumbu tuna kauvivu fulani kakula na tunatafuta vijisababu ilimradi tusile pia wabaguzi wa misosi, unaweza siku ukaamka ukajikita unahamu tu na tambi nyama, sasa hiyo usipopata ndio huli unaishia kutafuna tafuna tuvitu twa hovyo, mie namkubali bimkubwa wangu kwenye upishi hivyo wakati mwingine nafunga safari kwenda kudoea kwake, mie mwenyewe mvivu kupika, pia vyakula vya mgahawani nabagua saana

Nazungumza kwa uzoefu na elimu yangu ndogo ya misosi, vizuri zaidi msake mtaalam wa afya, umueleze tatizo lipi linasababishwa kwako kwa hizo lumbulumbu.
Lumbulumbu ni ina gharimu kishenzi unaweza jikuta kizeembe tu 10 elfu imekatika, na hakuna cha maana ulichokula, mara sijui umekula ubuyu, mara umenunua ice cream, mtaa wa kwanza mtaa wa pili mara umechukua chocolate basi ili mradi tu

Ama kama lumbulumbu inakufanya uwe Chibonge(aina hii ni wachache saaana) watu wa lumbulumbu hawawi vibonge kama Shunie basi kwenye vitu vya kula kula, pendelea apple na maji kwa wingi, fanya hima ugide maji ya kutosha.
Hahaha kwahiyo sisi ubonge wetu ni wa nini
 
Ahsante kwa ushauri.

Mie ndio maradhi yangu hayo.

Ila uraibu wangu upo kwenye sweets. Hasahasa chocolates. Sasa naona nnakoelekea sipo hasa kila umri ukipanda.

Kuna kisukari, weight gaining, kuharibika meno... ALLAH ATUEPUSHIE

Natamani sana kuacha ila nashindwa. Nishajaribu mara kadhaa naweza kufika kama mwezi then naanza upya kwa speed ya rocket .

Na huwa napata tabu siku za mwanzo nikianza mikakati. Huwa naumwa na kichwa....akili inaniparaganyika.

Nataka nianze hapo kwenye tende. Nimeambiwa na korosho na raisins (zabibu kavu) pia ni nzuri.
 
Katika hii dunia ya sasa vilevi ni vingi mno na unahitaji umakini mkubwa sana maan aukangukia kwenye uraibu basi utapoteza vingi sana.

Nikiwa kama kijana, nimekuwa mmoja wapo waliokumbwa na uribu wa vilevi vitatu ambavyo ni Punyeto, betting na sigara.

PUNYETO - Nlianza kimasihara masihara kupiga wakati nipo form 2, hapa ilikuwa kwa siri kidogo maana sikuwa na privay sana, ila nilipoingia form 5 hadi 6 abia ilizidi maana chumba nacholalala niliuwa peke yangu, kabla sijalala lazima nistue kamoja, Nilipoingia chuo nilikuwa nina madem kitu kilichokua mbadala wa hii tabia lakini bado kuna wakati inatokea dem hapatikani, tumezinguna ama yupo period hapo nlikuwa narudi kunyetoka tu, Uraibu ndio ulipungua ila sikuuacha, nlivomaliza chuo nikaanza kukerwa na hii tabia, nikaanza kujaribu kuacha kwa wiki, yani siku ya 4 gari limewaka, nikijaribu kuacha kwa mwezi hata simalizi wiki 2 kitu imo, nilichofanya ni kuchukua maamuzi) toka moyoni kabisa nikasema kuanzia sasa basi, sitaki tena yani, sio kwa wiki au mwezi bali sitaki tena, mkataba umeisha yani, Kweli Nikaweza na mpaka leo hii nina miaka 32 imepita miaka 6 nmeacha huu uraibu.

PICHA ZA NGONO / VIDEO ZA X - Hii nayo iliungana na punyeto, nlikuwa napenda kucheki hizi video wkati napanda na kushuka mnazi, nilipoacha nyeto na hii addiction ilikatika, hii addiction inaharibu sana akili hii, hata dem wako akija unaanza kuvuta hisia kwamba unafanya tendo na muigizaji uliemuona kwenye video, hizi video ukicheki unapandwa na nyege kifuatacho hapo kama huna mpenzi karibu lazima utanyetoka tu ama kwenda kutafuta kahaba (japo mimi sikua mdau wa makahaba wale wanaojiuza barabarani)

BETTING - Hii nayo ilinitesa sana, nilianza kujifunza nikiwa chuoni, nilikuwa naweka bajeti kabisa ya mwezi inakuwa maalum kwajii ya kubeti tu, kiufupi ilinichapa na kunigaragaza, Hasa pale nikibeti timu kama 5 na 1 tu ikachana mkeka basi nlikuwa najipa matumaini sana kwamba "imebaki kidogo tu" nikawa najipa matumaini nisikate tamaa na mimi ntasinda tu kama rafiki zang kadhaa kuna moja aliweka buku 2 akachapa laki 4 yani kila nilipokua nikimfikiria napata mzuka wa kubeti japo nae hadi kashinda hio laki 4 alishaliwa sana, Nililiwa sana kuzidi nlichopata na siku nikipata pesa inarudi kwenye kubeti, kiufupi sikumbuki nlichfanya cha maana kwa pesa nlizowaji kushinda, nikachukua uamuzi wa kuacha ila kila nikijaribu uacha kwa siku kadhaa najikuta nimerudi, Ila niliposema SASA BASI!! nikachukua maamuzi) toka moyoni kabisa ndio ikatoka hivyo, kwa sasa sio mraibu tena, Tangu niacha mwaka unaweza kuisha sijabeti ama nikibeti ni mara moja au mbili tu kwa kujifurahisha tu.

SIGARA - Hii ndio imenifanya niandke huu uzi, Leo ndio natimiza mwaka moja tangu niiache kabisa, Asikwambie mtu sigara ni kazi sana kuiacha (ni rahisi kuacha bangi kulik kuacha sigara), Nilianza kidogo kidogo ila nikajikuta nmeanza kupiga nne hadi tano kila siku, yani asubuhi, mchana, jioni na usiku, Naweza hata kuahirisha kwenda sehemu muhimu ilimradi nivute tu sigara, nilijaribu kuiacha mara kibao ila ilikuwa kazi sana, kama kawaida kuna siku nikaamua tu kusema kwamba sasa basi!! nikachukua maamuzi) toka moyoni ndio nikaiacha moja kwa moja, Leo natimiza mwaka moja sina habari na sigara.

Ushauri wangu, kama unataka kuacha uraibu, acha moja kwa moja tu, usiseme eti unaacha kwa mwezi au wiki, nakwambia utarudi tu, tena kwa spidi ya ajabu sana, ukitaka uache uraibu wewe chukua maamuzi) toka moyoni kabisa panga kuacha moja kwa moja tu.

Uraibu ni gereza ambalo ambalo mraibu ana funguo za kutoka nje, ni swala ya yeye tu kuamua kufanya maamuzi awe huru.

Kwa sasa uraibu wangu ni kumcha Mungu, kusoma vitabu, maendeleo na familia yangu (mke wangu na watoto wawili)
Nilichogundua mapenzi ni betting pia na mbaya zaidi nimetoka kupunwa almost 15M na yote heri uzuri nimebaki na uzima, life goes on.
 
Ahsante kwa ushauri.

Mie ndio maradhi yangu hayo.

Ila uraibu wangu upo kwenye sweets. Hasahasa chocolates. Sasa naona nnakoelekea sipo hasa kila umri ukipanda.

Kuna kisukari, weight gaining, kuharibika meno... ALLAH ATUEPUSHIE

Natamani sana kuacha ila nashindwa. Nishajaribu mara kadhaa naweza kufika kama mwezi then naanza upya kwa speed ya rocket .

Na huwa napata tabu siku za mwanzo nikianza mikakati. Huwa naumwa na kichwa....akili inaniparaganyika.

Nataka nianze hapo kwenye tende. Nimeambiwa na korosho na raisins (zabibu kavu) pia ni nzuri.
Haoo kwenye meno hapo.. Nishakuwa nusu kibogoyo, nishatoa zaidi ya meno ma3. , na sasa 1 lishaamza nisumbua, tena ni la juu

Inawezekana, kikubwa ni kuikandamiza nafsi, unaootaka kuachana na uraibu wowote, si jambo la mchezo mchezo, la sivyo itakuwa mwendo wa kupumzika mwezi ukirudi, unarudi na speed kubwa unakula mara 2 ya ulivyoacha huo mwezi, jaribu kuanza kupunguza taratibu taratibu.. Unajiwekea malengo mwezi huu nitakula kiasi kadhaa unaenda unapunguza taratbu hatimae mambo ya kitoto kushney maregea..

Yes, jaribu kutembea na hivyo vitu, allah atakusaidia inshaallah
 
Sure.

Mie meno Alhamdulillah. Sijawahi kuumwa na jino hata kwa bahati mbaya. Meno yote yapo kamili tena mazima

Tatizo weight Kupungua ndio mtihani. Na nikianza mkakati naumwa nakuwa kama teja . Nakuwa mnyongeee.

Inataka moyo
 
Na mwili ukija kuutoa ni mtihani..

Jitahidi, kila kitu dhamira tu, km umedhamiria kweli, utaweza.
 
Hatari sana,hakika ni zoezi gumu.
Kwa upande wangu haikuwa ni zoezi la kila siku, mara nyingi ilikuwa siku nikikosa gamr ndo naamsha, Nadhani wanaoathirika sana ni wale ambao hawanaga mbadala kabisa (wanawake) na mara nyingi hawa huwa wanapiga mara 3 au zaidi kwa siku.

Binafsi ni miaka kadhaa imepita nimeacha hii nahisi ningeendelea ningekuwa muhanga
 
Hakunaga dawa ya kuacha uraibu nzuri kama maamuzi binafsi.

Walevi wamenyweshwa hadi maziwa ya nguruwe wakiamini yatasaidia ila wapi, kina ray c alilipiwa milioni 100 huko akatibiwe nje ila alivyorudi akaanza upya, kilichomuokoa ni maamuzi tu...
Ubarikiwe mkuu
 
Katika hii dunia ya sasa vilevi ni vingi mno na unahitaji umakini mkubwa sana maan aukangukia kwenye uraibu basi utapoteza vingi sana.

Nikiwa kama kijana, nimekuwa mmoja wapo waliokumbwa na uribu wa vilevi vitatu ambavyo ni Punyeto, betting na sigara.

PUNYETO - Nlianza kimasihara masihara kupiga wakati nipo form 2, hapa ilikuwa kwa siri kidogo maana sikuwa na privay sana, ila nilipoingia form 5 hadi 6 abia ilizidi maana chumba nacholalala niliuwa peke yangu, kabla sijalala lazima nistue kamoja, Nilipoingia chuo nilikuwa nina madem kitu kilichokua mbadala wa hii tabia lakini bado kuna wakati inatokea dem hapatikani, tumezinguna ama yupo period hapo nlikuwa narudi kunyetoka tu, Uraibu ndio ulipungua ila sikuuacha, nlivomaliza chuo nikaanza kukerwa na hii tabia, nikaanza kujaribu kuacha kwa wiki, yani siku ya 4 gari limewaka, nikijaribu kuacha kwa mwezi hata simalizi wiki 2 kitu imo, nilichofanya ni kuchukua maamuzi) toka moyoni kabisa nikasema kuanzia sasa basi, sitaki tena yani, sio kwa wiki au mwezi bali sitaki tena, mkataba umeisha yani, Kweli Nikaweza na mpaka leo hii nina miaka 32 imepita miaka 6 nmeacha huu uraibu.

PICHA ZA NGONO / VIDEO ZA X - Hii nayo iliungana na punyeto, nlikuwa napenda kucheki hizi video wkati napanda na kushuka mnazi, nilipoacha nyeto na hii addiction ilikatika, hii addiction inaharibu sana akili hii, hata dem wako akija unaanza kuvuta hisia kwamba unafanya tendo na muigizaji uliemuona kwenye video, hizi video ukicheki unapandwa na nyege kifuatacho hapo kama huna mpenzi karibu lazima utanyetoka tu ama kwenda kutafuta kahaba (japo mimi sikua mdau wa makahaba wale wanaojiuza barabarani)

BETTING - Hii nayo ilinitesa sana, nilianza kujifunza nikiwa chuoni, nilikuwa naweka bajeti kabisa ya mwezi inakuwa maalum kwajii ya kubeti tu, kiufupi ilinichapa na kunigaragaza, Hasa pale nikibeti timu kama 5 na 1 tu ikachana mkeka basi nlikuwa najipa matumaini sana kwamba "imebaki kidogo tu" nikawa najipa matumaini nisikate tamaa na mimi ntasinda tu kama rafiki zang kadhaa kuna moja aliweka buku 2 akachapa laki 4 yani kila nilipokua nikimfikiria napata mzuka wa kubeti japo nae hadi kashinda hio laki 4 alishaliwa sana, Nililiwa sana kuzidi nlichopata na siku nikipata pesa inarudi kwenye kubeti, kiufupi sikumbuki nlichfanya cha maana kwa pesa nlizowaji kushinda, nikachukua uamuzi wa kuacha ila kila nikijaribu uacha kwa siku kadhaa najikuta nimerudi, Ila niliposema SASA BASI!! nikachukua maamuzi) toka moyoni kabisa ndio ikatoka hivyo, kwa sasa sio mraibu tena, Tangu niacha mwaka unaweza kuisha sijabeti ama nikibeti ni mara moja au mbili tu kwa kujifurahisha tu.

SIGARA - Hii ndio imenifanya niandke huu uzi, Leo ndio natimiza mwaka moja tangu niiache kabisa, Asikwambie mtu sigara ni kazi sana kuiacha (ni rahisi kuacha bangi kulik kuacha sigara), Nilianza kidogo kidogo ila nikajikuta nmeanza kupiga nne hadi tano kila siku, yani asubuhi, mchana, jioni na usiku, Naweza hata kuahirisha kwenda sehemu muhimu ilimradi nivute tu sigara, nilijaribu kuiacha mara kibao ila ilikuwa kazi sana, kama kawaida kuna siku nikaamua tu kusema kwamba sasa basi!! nikachukua maamuzi) toka moyoni ndio nikaiacha moja kwa moja, Leo natimiza mwaka moja sina habari na sigara.

Ushauri wangu, kama unataka kuacha uraibu, acha moja kwa moja tu, usiseme eti unaacha kwa mwezi au wiki, nakwambia utarudi tu, tena kwa spidi ya ajabu sana, ukitaka uache uraibu wewe chukua maamuzi) toka moyoni kabisa panga kuacha moja kwa moja tu.

Uraibu ni gereza ambalo ambalo mraibu ana funguo za kutoka nje, ni swala ya yeye tu kuamua kufanya maamuzi awe huru.

Kwa sasa uraibu wangu ni kumcha Mungu, kusoma vitabu, maendeleo na familia yangu (mke wangu na watoto wawili)
Ila sigara zina changamoto sana.
 
Back
Top Bottom