Hii ndio fact yenyewe maswala ya oooh cjui 40's. Ndio kuandik tu ktab cha njia tatu za kua tajiri na hela ya kupublish umekopa. Aaaah[emoji53]Maisha hayapo hivo kabsa coz Kuna wanao fanikiwa before 40s Kuna wanaofanikiwa after 40s yote Kwa yote kila mtu ananjia zake,, waswahili wanasema mafanikio hayana formulary some time is true