sundoka
JF-Expert Member
- Oct 9, 2011
- 2,067
- 2,752
Kama upo Bukoba niPM nikuelekezeGood lesson...hivi kanda ya ziwa naweza kupata wapi hawa chotara maana nimeangalia makala nyingi za ufugaji kuku wa kienyeji ni kweli hawa ndio wanatija sana... please advise kwa kanda ya ziwa nawapataje