fundimchundo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2010
- 616
- 904
Kuku wa 7000/= ni hawa kuku wa kisasa, 'broiler'.Okay kama bei zipo ivyo, soko lake ni mahotelin tu na migahawa mikubwa labda, maana vibanda vya chips kuku wao ni hawa wa 7000/=
au nipe somo kidogo kwenye masoko kama hautojali ndugu yangu
Kuku wa Kienyeji, 'Indigenous breed', katika Miji yetu Tanzania, hupatikana kwa bei ya 10,000/= na kuendelea.
Na hiyo siyo bei ya Hoteli kubwa au Migahawa mikubwa.