Unaweza kuwa na wapenzi wengi ila ukawa salama,pima ndugu,uwe huruMimi sijui kama nitapima manake naona siku nikienda kupima huyo nurse, nahisi kama ndie atakae nipiga sindano ya ukimwi. Halafu nisha gegeda wadada wengi sana kama nyuki anavyo tengeneza asali kwenye maua.
Ushauri huu kampe Bashite lakini sio mimi.Unaweza kuwa na wapenzi wengi ila ukawa salama,pima ndugu,uwe huru
Mdau umenishangaza sana....Sasa wewe umefanya ngono zembe alafu unaleta ushuhuda!!!! Pili uliona ni sawa kumuambukiza mkeo...Duh hii kiboko!!!Nimeishi zaidi ya miaka 4 nikiwa na hofu ya kuambukizwa virusi vya Ukimwi,ila tangu nilipopimwa,nimekuwa na amani sana moyoni,haswa pale nilipoambiwa afya yangu iko salama,sitasahau wasiwasi nilioishi nao kwa kipindi chote cha miaka 4, jamani,tupime afya zetu tuwe huru
===
Hii inatokana na aina ya maisha niliyopata kuishi,nimeishi visiwani,nikashiriki ngono bila kinga, lakini pia niliwahi shiriki denda na demu ambaye aliniambia kuwa ni mwasirika wa ukimwi,ambaye alinihurumia kuniambukiza,ila akaishia kunipa kiss,tangu hapo mpaka naoa,niliishi kwa wasiwasi sana,mpaka mke wangu anapata ujauzito,wasiwasi ukaja kuhusu kwenda klinic,ila namshukuru Mungu tulikutwa tuna afya nzuri,siku hizi nalala kwa amani tena mpaka nakoroma,maana mh,niliteseka sana,jamani tusiogope kupima,ukipima unakuwa huru
Hata mm nilikua mwoga kama wewe ila baada ya kupima nimekua huru na pia nimekua makini sana kwenye masuala ya mahusiano na ngono kwa ujumla.Ushauri huu kampe Bashite lakini sio mimi.
Nilishatubu mkuu,ndo maana nimetoa ushuhuda ili na wengine wenye tabia kama zangu watubu na wapime ili wawe huru,mke wangu nilishamsimulia kila kituKwahiyo ulioa huku ukijua kua wewe huenda ni muathirika?! Mbaya sana!
Kama ungekua muathirika ina maana ungemuambukiza mpaka huyo mtoto ambae angezaliwa?!
Mkuu una roho ya hatari sana na huruma yako iko mbali sana,wewe ni mbinafsi,tubu kwa mola wako na ubadilike.
Nimekuelewa mkuu.Nilishatubu mkuu,ndo maana nimetoa ushuhuda ili na wengine wenye tabia kama zangu watubu na wapime ili wawe huru,mke wangu nilishamsimulia kila kitu
Kapime ndugu uondoe wasiwasi..Mi kupima bado nafkiria aisee
Ukiona hivyo jua ndoa ya KiislamHapo kwenye mke ndio umenishangaza zaidi! Ina maana mlioana bila kupima?!