Leo nimekutana na Dada mmoja ambae alikuwa rafiki yangu sana enzi za kipindi cha shule. Kuna jamaa aliniambia kuwa rafiki yako yule wa kike kashakuwa Dada poa maeneo ya Dar sehem fulani.
Basi sikuamini kabisa kwani nilijua utani kwa njisi alivyokuwa,Leo ndo nimekutana nae maeneo fulani hivi hapa Dar hakika nimeshangaa kumuona kwa njisi alivyopendeza kwa shape nzuri na tako la kuvutia sana.
Nikamuuliza anajishugulisha na nini,akanijibu kwa uwazi kabisa kuwa kazi zake za usiku tu.
Akaniambia yeye ni Dada poa hapa Dar mitaa Fulani ila amekaribia kuachana na hiyo kazi tena mwanzoni mwa mwaka 2021 kwani kashaandaa na kujenga miladi ya kutosha.
Nikamuuliza kwa siku hiyo kazi yako unaingiza kiasi gani kadilio la chini akasema sio chini ya laki mbili(200,000).
Akasema kazi yao ina pesa sana hasa wakati wa baridi,amejenga kwao na amejenga Dar pia.
Anasema toka amelala na wanaume approximately wanazidi 1000+ cha ajabu hana UKIMWI,pia huwa anatembea na mafuta kama kilainishi katika uke mteja akiwa hana kodomu au hataki kutumia kondomu.
Nimefika kwake mpaka nimeshangaa alivyojijenga,hakika Dada poa wana pesa.
Anashukuru Mungu kumuumba mwanamke hakika uchumi alionao sio wa mchezo.
Leo ndo nimejifunza kitu kikubwa sana kutoka kwa Dada poa ambae alikuwa rafiki yangu sana,Kumbe hawa Dada poa huwa na plan za maisha sana.