Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,703
- 218,230
Nimejikuta nacheka kwa sauti , mpaka ofisini vibarua wamestuka ! Wameuliza bosi unacheka nini ?Wewe kwa kuwa wamekupachika Umeneja wa Kituo cha Mafuta, unajitia kuwatetea. Hebu niambie kuwa top 10 katika walipa kodi kunahusiana nini na kucheza mchezo mchafu wa uchakachauaji !! IST yangu huioni hapo kwako tena.