Mbuguni TPC
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 464
- 323
JF inaongoza wengine wanafuata.
inaitwa pambana na hali yako!Kubweteka mwanaume ni mwiko!Hongera saana saana!umetupa funzo
Surely we will kiongozi.Mungu ni wakumtangulia kwa kila jambo na kutokukata tamaa we can make it.
Hongera mkuu. Bila shaka wengine tutashawishika na kufanya kama wewe.
Asante sana mkuu lengo ni kupeana mwanga wa maisha tu.Dr. Adams Faida, mimi nikupe hongera nyingi sana, kwanza kwa inspiration story ya upambanaji inayotia moyo wengine kupambana na maisha popote pale, hili ni jambo bora sana. Pili, uandishi wa story yako ni kitu muhimu sana sana na msaada kwa wengine, nitumie fursa hii kuwashawishi vijana wenzetu wengine, unaposafiri ukajifunza jambo la muhimu kama hili, basi andika full story yako ikibidi na picha kama hizi kwa ajili ya kufunza wengine. Wenzetu wazungu kila wafanyalo lenye elimu kwa jamii huweza andika story hata VITABU ambavyo vizazi kwa vizazi watasoma kwa muda wao na kujifunza hata kutatua changamoto zozote zinazoweza kujitokeza katika jambo kama hilo, hivyo niseme big up sana, Cheers! !!
Ww utaikumbuka JF kwa ku cc mahondwa wako huyu kila sehem, kusema ukwel hata mm binafsi hatua nyingi nilizopitia na kufika hapa nilipo 80% ni muongozo wa Jf kwa topics kibao, huko ug nshatia team sana mkuu kwa hizo mishe, nikafika gikombaa kenya mara kibao tu, mapambano yanaendelea kama kawaida! Sky is my limit
Tuliachana pale Nyamayiba bust terminal yeye akaelekea chuoni Kampala international university (KIU) mimi nikaendelea na harakati zangu.Hongera mkuu
.
.
Dada aliyekuwa anatapika aliishia wapi?
GoodTuliachana pale Nyamayiba bust terminal yeye akaelekea chuoni Kampala international university (KIU) mimi nikaendelea na harakati zangu.