Ushuhuda: Freeman Mbowe ni kiongozi dhaifu

Eti mbunge wa jamuhuri ya muungano.. Mbwembwe nyingi sema mbunge viti maalum
 
Mbowe ni kiongozi mahiri ktk taifa hili, kitendo cha kila mtu kujifanya anaishauri CDM kinaonesha namna maadui wanavyoumia kwa ubunifu uliopo kwa sasa.
Maajabu hayo. Yaani wapinzani wa Chadema siku hizi hawalali, kucha kutwa kutoa ushauri namna 'bora' ya kuiendesha Chadema...

Mheshimiwa JPM mwenyewe alituambia kwamba "ukiona adui yako anakusifia ujue umepotea njia, simama, rudi nyuma utafute njia sahihi". Japo si kweli all the time, nashangaa hawakumbuki hiyo kauli yao, including mheshimiwa mwenyewe Magufuli.
 

....kwa mtazamo wako mleta mada ana akili kubwa!

hebu nisaidie kuiuliza hiyo "akili kubwa yako", hivi mabadiliko aliyoyakosa Chadema ndio ameyapata ccm?

Na huyo ZZK hata sidhani km historia yake ndani ya Chadema unaifahamu!
 
lumumba wewe! Huoni UDHALIMU na UDHAIFU wa Magufuli!?

Hujitambui wewe.
Kwa hiyo kiongozi UDHALIMU na UDHAIFU wa Magufuli ndio unahalalisha hayo anayoyafanya Mbowe huko CDM...??!
 
Mi nikajua unaleta nondo kumbe hadithi tu,nimejiandaa nikasoma kwa makini kumbe hamna kitu...watu wafupi kama visturi siku zote huwa mna matatizo
 
Mkuu umemsahau na Lowasa, tena huyo ushahidi wake anao Mnyika...na Mbowe.....
 
Unatumia maneno makali sana
"Viongozi wa BAVICHA waoga, wajinga, wasiofikiri, wasiojiuliza, wenye njaa na wanaojalimaslahi ya matumbo yao na matumbo ya waliowaweka madarakani".
 
....kwa mtazamo wako mleta mada ana akili kubwa!

hebu nisaidie kuiuliza hiyo "akili kubwa yako", hivi mabadiliko aliyoyakosa Chadema ndio ameyapata ccm?

Na huyo ZZK hata sidhani km historia yake ndani ya Chadema unaifahamu!
Kwani wewe kwa Mtazamo wako wa Kizalendo hao niliowataja ni mapunga sese? Let us be honesty nitajie mtu mmoja tu ndani ya CHADEMA mwenye charisma na ushawishi mkubwa na mvuto wa kisiasa kwa wananchi ambao Zitto na Slaa walikuwa nao ndani ya CHADEMA. i don't need to know it in details lakini ushuhuda wa Zitto tu mwenyewe kuwa ametumia nusu ya maisha yake ndani ya chama toka wakati alipofuatwa na CHADEMA akiwa chuo kikuu na ametumia muda mwingi wa maisha yake katika kukijenga chama hicho nchi nzima a fact that cannot be disputed with any one unless otherwise unaupungufu wa akili. Sitaki nimzungumzie Slaa amefanya nini kwenye CHADEMA na nini ulikuwa msimamo wake, wewe mwanachadema unajua zaidi kuliko mimi, Jembe lile unless otherwise una mtindio wa ubongo na ushabiki wa kijinga. Hivi kweli unaweza hata kidogo kumlinganisha katibu wako wa chama wa sasa ambaye kwakweli hata jina lake silijua na Dr. Slaa? Think out of the box,Kikwete anasema ukiambiwa changanya na akili zako.
 
Heri yako hata umesoma hivyo;
Jitahidi pia kutumia elimu hiyo yako
kubwa na nzuri kutusaidia sisi wajasiriamali
wadogo tunaokosa hata vifungashiyo.
Sababu ya kuwaza maandamano kila kukicha
 
Sasa huko uliko ndiko kwenyewe kuna mtu hataki kukosolewa na wala hajaribiwi. Wewe huko unaitwa ng'ombe aliekatwa mkia, huaminiki. Hata hivyo tunakutakia heri na juhudi za kutaka ukubalike humo zizini. Lakini hutakuwa na nafasi ya kumshauri mkulu ni hata hivyo hukujaribu hata watz walipokosa sukari kutoka na madosari makubwa na dhahiri katika maamuzi.Utaka choweza ni kuchongea wenzio kama ilivyokuwa bungeni pale walipoonekana kupendeza kukuzidi. Pole sana na wasalimie wanaohangaika kama wewe.
 
Uchumia tumbo unazidi kukuondoa ufahamu
 
tuambie nakuhusu mumeo,ni dhaifu au rijali???kumbuka kuapa kabla hujaanza kutuamba
 
CCM nzima mbunge alikuwa Marehemu Deofilikunjombe na kwa mbali namuona Bashe wengine wote wanafikiri kwa Matumbo yao.sasa mtu kama shonza hata awe na PHD 10 sawa na mtoto wa darasa la 7
 
Mbona mnahaingaika nao? According to Gwajima husigombane Na Walevi!

Kama umeamua kuandika kiingereza
Anza na malizia kwa lugha hiyo hiyo

Gwajima nani kwanza!!!?




WATANZANIA WANAHITAJI MAENDELEO SIO "UKUTA"
HAWAPAKANI NA SOMALIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…