Nchi hii tutatoka kweli?So what? Wewe uko CCM bado unajitetea dhidi ya Ufukuzwaji wako CHADEMA? Mbowe ni dhaifu. Sawa Tunakubaliana na wewe Mbowe ni dhaifu. Naomba nijibu maswali yafuatayo:
1. Kwanini udhaifu wa Mbowe unaifanya CHADEMA inaendelea kuka kwa kasi kwa kupata idadi ya KURA za Urais, idadi ya wabunge, madiwani na mameya.
2. Kwanini udhaifu wa Mbowe unamyima usingizi Mh.Rais wa Tanzania mpaka anawafungia Mbowe na wenzake kufanya mikutano? anamuhofia dhaifu?
3. Kwanini udhaifu wa Mbowe unawafanya watu shupavu kama wewe Shonza, Zito na wenzako kuondoka CHADEMA?
4. Kwanini ninyi mashupavu mliofukuzwa CHADEMA mlishindwa kumuondoa Mbowe kwenye uenyekiti wa Chama cha CDM?
5. Kwanini ninyi mlio mashupavu msianzishe chama chenu cha Upinzani na kuonyesha udahaifu wa Mbowe kwa kuipiku CHADEMA?
Majibu Tafadhali
Are you a CCM left wing goer,dont you?U must feel sorry for what u have as a leaders huko kwenu opposition, maana kama isingelikuwa kwa juhudi za watawala Tanzania would stink and sink..!!
Sisi wananchi Wa jimbo la Hai tunawaomba Chadema mje muandamane usiku na mchana kudumisha democrasia.Baada ya kusoma, maandiko ya shonza nimegundua ni kwanini hajui hata hicho kiapo kinaapwa vipi kwa mujibu wa kifungu cha sheria aliyoinukuu.
Hivi heading ya post yako ina reflect contents zake kweli?
Ni kweli wewe una on going PhD kama unavyodai kwa uwezo huu ulioonesha hapa kweli??!
Ni ushauri wangu tu kwamba wote uliowa underrated humu kama tundu lisu baregu heche na hata hao bavicha huna unayestahili hata kulegeza gidamu ya viatu vyake, ningekushauri ukae kimya.
Najua unayo personal vendetta na mbowe, lakini kunyamaza nako ni jibu kuliko kujionesha umzigo wako hata huko uliko sasa.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Pentekoste............
THIS IS A GRADUATE AND a PhD CANDIDATE (on going)U must feel sorry for what u have "as a leaders" huko kwenu opposition, maana kama isingelikuwa kwa juhudi za watawala Tanzania would stink and sink..!!
Is there any relevance with my comment you have quoted?!Sisi wananchi Wa jimbo la Hai tunawaomba Chadema mje muandamane usiku na mchana kudumisha democrasia.
Mbowe usitubague safari hii kwa sababu kila siku unapeleka maandamano Mwanza tu na kuacha Moshi.
Hao ndiyo wanasiasa wa ccm full of longo longoHivi ni Masters on Sociology au Masters in Sociology, hivi ni Phd on progress au Phd: in progress hivi ni vitu vya primary huko lakini mtu kafika mpaka chuo kikuu lakini anashindwa kujua tofauti....
hawezi jibuKwa hiyo kama Mbowe ni Dikteta na sisi unataka kutuhalalishia Udikteta wa Magufuli?
Sisi tunataka demokrasia kwa mujibu wa Katiba. Kama Katiba inavunjwa hatuna budi kukemea bila kujali ni Magufuli au Mbowe.
Kosa moja halihalishi kosa jingine.
Wewe Shonza ndio weak na unaonesha una personal conflict na Mbowe.
Hizi Phd hizi balaa... ngoja nisiongeze neno nsije pigwa ban