Ushuhuda: Damu ya paka ni uchawi mbaya sana

Ushuhuda: Damu ya paka ni uchawi mbaya sana

Wadau Hbr Zenu.Katika Mazungumzo Ya Vijiweni Jana Kuna Jamaa Akatukatia Kuwa Ukichinja Paka Ukamwaga Damu Mlangoni Kwa Mtu Wote Wanaoishi Hapo Watapata Mikosi Mfululizo.Nilijaribu Kwa Mtu Niliyemlenga Amechakaa Sana Hivi Sasa.Nawashauri Msijaribu Ni Hatari Sana.Natubu.

Huyo amechakaa kwa mambo yake tu kiuchumi na sio huo utumbo wako
 
Wadau Hbr Zenu.Katika Mazungumzo Ya Vijiweni Jana Kuna Jamaa Akatukatia Kuwa Ukichinja Paka Ukamwaga Damu Mlangoni Kwa Mtu Wote Wanaoishi Hapo Watapata Mikosi Mfululizo.Nilijaribu Kwa Mtu Niliyemlenga Amechakaa Sana Hivi Sasa.Nawashauri Msijaribu Ni Hatari Sana.Natubu.

Mkuu hapa umetutahadhalisha au ndio umetufundisha ‍♂️
 
nouma sana kama watu wamefikia hapa uchawi bongo njaa
 
Jinga mojawapo ndani ya JF, kuwatendea wanyama ukatili huo kisa nini? Ndo nyie mafala ukiambiwa mfupa wa albino unavuta pesa unaamini, mshenzi kabisa wewe unafaa ban kubwa ndani ya JF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nami nimejiuliza hivyo,

Kaambiwa Jana , kaenda kufanya majaribio jana hiyo hiyo na matokeo kayaona jana.

Matokeo ni kuwa MTU amechakaa! Pengine amefanya kwa mtu aliye chakaa.

Hapo wote wamechakaa mkuu, ila aliyefanya hili jaribio na kuleta uzi kachakaa zaidi...mbaya zaidi uchakavu umetafuna hadi ubongo.
 
Wadau habari zenu
Katika mazungumzo ya vijiweni jana kuna jamaa akatukatia kuwa ukichinja paka ukamwaga damu mlangoni kwa mtu, wote wanaoishi hapo watapata mikosi mfululizo.

Nilijaribu kwa mtu niliyemlenga amechakaa sana hivi aasa. Nawashauri msijaribu ni hatari sana.
asante mkuu kwa desa
 
Nami nimejiuliza hivyo,

Kaambiwa Jana , kaenda kufanya majaribio jana hiyo hiyo na matokeo kayaona jana.

Matokeo ni kuwa MTU amechakaa! Pengine amefanya kwa mtu aliye chakaa.
No huyu ndugu muongo Hakuna ukweli wowote. Kila Kitu kimefanyika jana na Ukweli wa jambo kauthibitisha jana hiyo hiyo Huyu ni Muongo kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom