Ushrikiano

Ushrikiano

Amani Nyekele

Senior Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
159
Reaction score
26
Nawasalimu wote!!!

Nimekuwa mtumiaji wa muda mrefu wa JF kwa miaka mitatu sasa.JF imekuwa chanzo muhimu cha habari kwangu!!! Kwa uamuzi na ridhaa yangu mwenyewe nimeamua kujiunga ili kupata nafasi ya kuwasiliana na pengine kuweza kupost maoni na hoja mbalimbali kama member!!!
NI MATARAJIO YANGU KUWA TUTAENDELEA KUIJENGA FAMILIA YA JF KWA HABARI, BURUDANI NAMUSTAKABALI WA NCHI YETU!! Wadau je ni forum gani unadhani inanifaa zaidi mie?????
 
karibu sana, ushirikiano wa kutosha utaupata lakini pia usisahau masharti na kanuni za Jf.
 
Karibu sana, majukwaa yote yanakufaa!
 
Nawasalimu wote!!!Nimekuwa mtumiaji wa muda mrefu wa JF kwa miaka mitatu sasa.JF imekuwa chanzo muhimu cha habari kwangu!!! Kwa uamuzi na ridhaa yangu mwenyewe nimeamua kujiunga ili kupata nafasi ya kuwasiliana na pengine kuweza kupost maoni na hoja mbalimbali kama member!!! NI MATARAJIO YANGU KUWA TUTAENDELEA KUIJENGA FAMILIA YA JF KWA HABARI, BURUDANI NAMUSTAKABALI WA NCHI YETU!! Wadau je ni forum gani unadhani inanifaa zaidi mie?????
...............salam kwako pia,miako mitatu si muda mchache hongera sana naamini utakuwa umeaoma kanuni na taratibu kuzifahamu zingatia,...............forum zote zinafaa sana....................karibu sana
 
Asanteni sana kwa ukarimu wenu!!! nami nina wahakikkishia ushiriki tukuka!!!
 
Asanteni sana kwa ukarimu!! Nami nawakikishia ushiriki tukuka katika jukwaa hili!!!!
 
Back
Top Bottom