Ushosti kazi....huyu normal kweli????

Ushosti kazi....huyu normal kweli????

Candy kisses

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
297
Reaction score
211
Habari wanajamvi....nimekaa nikifikiri nikaona niwashirikishe na nyie.

Tangu nakua nakupata ufahamu sikumbuki kama nshawahi kua na best friend na imekua hivyo hadi ukubwani sasa japo nina marafiki ambao interests zinatofautiana kutoka mmoja hadi mwingine....kwa kifupi sina shosti wa changu chake chake changu!!!

Sasa tangu nimeanza kazi nimezoeana na watu ila kuna mdada naona ye yupo ki shosti ushindani zaidi!Wiki hii nikienda saloon nikishonea weaving naye yumo,tukitoka job she'z behind my back si mnajua ile ya wadada kutaka kusindikizana na kiukweli so kwamba mi namuomba ila fine nakua tu polite.Juzi juzi kaja ofcn kwangu kakuta salary slip kaanza kusoma(sikupenda bt I was jus polite nikamuacha) after all I'm so ahead of her.

I swear after 2 days naona kadraft barua ya kuomba apandishwe mshahara nilishangaaa kiukweli she has a diploma na amemaliza degree bt hana cheti bado sasa kaandika kuomba mshahara wa degree(mind you me nina zaidi ya degree) nilishindwa hata kumshauri kwamba alitakiwa aonyeshe vyeti n blah blah coz angeona nataka kumzibia.

So again this dear shosti of mine anadate na anajua my rltnshp status kua I'm currently single sasa basi akitoka out na shemeji anatuma picha watsap hadi nachoka(honestly what is she trying to prove coz sio kwamba siwezi date ila ukitendwa lazima ujipange ),akipika watsapp,akinunua nguo or kitu kipya watsap...nshangaaga bt thn its her character sina la kufanya!

Nshwahi kumkaribisha kwangu nimepanga nyumba nzima bt nashare na dada mwingne on the other hand my friend anachumba kimoja siku amekuja hapa alikua anapiga tu picha picha picha(kip in mind mi ni polite or rather mvivu wa kuongea so I let her be). Hayo ni kwa ufupi tu sasa najaribu tu kuwaza wale wenye mashosti wa kufa na kuzikana sijui mnawezaje,I mean mi hapa nshachoka yani coz najiona I'm good on my own i love minding my own bussy life;na sio kwamba sina marafiki wapo bt sio wakugandana hivi coz najua smtymz ukiwa na rafiki wa kugandana nae kuna vikwazo pia!!!!

Ye ni muongeaji sana mi sio kwa vifupi I'mpolite kuliko yeye.Nisaidieni wenye uzoefu na bestfriends/mashosti wa kushibana is she normal or am I abnormal (I'm crazy n talkative nikiwa na dada zangu n cousins bt kwa mtu baki naeza kaa nae muda sana hadi kumzoea)
 
ngoja waje.....
talkative hata humu wapo we subiri utawaona!
 
Kwanini usiulize "MIMI NI NORMAL KWELI" kwasababu huyo shost wako anaweza akawa anajiuliza hicho hicho unachojiuliza.

Nnachokiona hapo ni mtu ambae wewe binafsi hujamkubali. Mnatofautiana sana kwahiyo kila anachofanya we unamshangaa. Kingine ni kwamba wewe unajikubali sana na uko busy kujiaminisha kwamba ni zaidi ya huyo mwenzio, na ndio maana bado uko nae mpaka unafikia kumkaribisha kwako ili uzidi kujiweka juu.

Humkubali dada wa watu, MPOTEZEE. Atafute marafiki wanaofanana na yeye.
 
sasa wewe mtu wa hivo umetoka nae wapi? huo upole wako utakucost assume siku umepata mpenzi unadhani atamuacha? unajichimbia kaburi wewe mwenyewe!
mwambie black and white akuwache upumue!

tunatofautiana hata mimi mtu wa kuropoka ropoka hata kama awe vipi namtimua!!!
 
Kweli hata mimi ushosti wa hivyo siuwezi. Shost wangu sana ni mchumba wangu wengine kero alafu mawivu yasiyokua na maana mi sipendi. Tuwe marafiki katika shida na raha ila umbea ukizidi sana nao kero. Just ignore her ila akiwa na kitu cha kukushirikisha msikilize ila usimzoeshe sana kuwa na wewe.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
No she is not normal,we mpotezee kdgokdgo,atachoka mwnyw,ila usiwe mpole sana muda mwngne mpake ukikaa kmya atajifanya kakuzoea sana.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwel we mpole duuu me hta mwez 2cngemalza na urafk wa kjinga hvy tupa kuleeeee achana naye ucjtafutie stress
 
Kwanini usiulize "MIMI NI NORMAL KWELI" kwasababu huyo shost wako anaweza akawa anajiuliza hicho hicho unachojiuliza.

Nnachokiona hapo ni mtu ambae wewe binafsi hujamkubali. Mnatofautiana sana kwahiyo kila anachofanya we unamshangaa. Kingine ni kwamba wewe unajikubali sana na uko busy kujiaminisha kwamba ni zaidi ya huyo mwenzio, na ndio maana bado uko nae mpaka unafikia kumkaribisha kwako ili uzidi kujiweka juu.

Humkubali dada wa watu, MPOTEZEE. Atafute marafiki wanaofanana na yeye.

Lizzy my dear kama kuna kitu ambacho siwezi nikujiona mi niko juu ya mwingine japo hapa facts speak for themselves kua kwa kiasi Fulani nimemzidi japo kwangu hilo si tatizo....kama umenielewa tatizo ni jinsi yeye alivyochangamka sana yani kama katiwa ndimu...she is here,there and everywhere!Kitu or character ambayo mi sina.
Na kumkaribisha kwangu its a different story bt ye ndo aliinitiate nikaona sio vibaya aje....otherwise maybe its true labda sijamkubali or labda kwa usahihi ni tabia zake ambazo sijazikubali!!!!
 
Achana na huo ushosti wa ushindani na kutambiana, if it was real friendship mngekuwa mnashauriana how to help each other wote mpande,either by advicing each other or any other way!I had 2 friends that I valued so much,we were so close at a point I even took my time and energy to help them spot every opportunity I saw just to see my friends rise but they kept bringing envious comparisons and kunitambia stuff I helped them with!they took advantage of me huku wakinibeza I tried keeping off they said I don't wanna hang out with them naringa coz I got a job (I used to work now we all back to school different universities) Mara naringa I don't wanna hang out with them coz hawana magari mind you safari zetu zote ni bajaj na daladala I kept helping them ,ignoring the other part but ikazidi now am off them for good!!ni salam tu and it feels good not to be close to people who only take advantage of you and coming up with envious comparisons don't let this friend of yours come up with that!!sina shosti wa kushibana and I am very comfortable with my life!stay true to your self Dada jua unachokitaka and live your life!
 
Basi mpotezee. . .Usiwe na rafiki ambae muda mwingi unatumia kumshangaa.
 
....yet still ashawahi kuni add kwa group flani hv la watsapp "la wadada" nkajua litakua zuri la maana bt humo ni full kudiscuss watu,kujadili Wema kafanyaje,Lulu yupoje nani anatoka na nani plus mambo ya wanaume unapateje kazi za nje(wanaume wa nje),unaweza kucheat bila kujulikana yani that kinda stuff na show off kwa sana.....nilijitoa bila hata kuaga!!
Yani kwa ufupi nashangaa kwanini hafikirii v2 vya maana/vya kimaendeleo seriously age za kushindana na kushow off mi naona zimepitwa na wakati....
 
Wewe ndio una matatizo mwenzako kakuona star na anataka akuige ili naye awe juu kama wewe halafu unakereka; kila mtu ana starring wake katika maisha inabidi uwe mvumilivu ila weka mipaka ambayo hatakiwi kuivuka mwenyewe akiona soo atakuwa anakopi kwsa mbali sio kwa kukusogelea sana
 
Achana na huo ushosti wa ushindani na kutambiana, if it was real friendship mngekuwa mnashauriana how to help each other wote mpande,either by advicing each other or any other way!I had 2 friends that I valued so much,we were so close at a point I even took my time and energy to help them spot every opportunity I saw just to see my friends rise but they kept bringing envious comparisons and kunitambia stuff I helped them with!they took advantage of me huku wakinibeza I tried keeping off they said I don't wanna hang out with them naringa coz I got a job (I used to work now we all back to school different universities) Mara naringa I don't wanna hang out with them coz hawana magari mind you safari zetu zote ni bajaj na daladala I kept helping them ,ignoring the other part but ikazidi now am off them for good!!ni salam tu and it feels good not to be close to people who only take advantage of you and coming up with envious comparisons don't let this friend of yours come up with that!!sina shosti wa kushibana and I am very comfortable with my life!stay true to your self Dada jua unachokitaka and live your life!
Sweetheart yani hizo ndo vikwazo vya urafiki nnavyosema bora uishi kivyako mbaki kusalimiana na kusaidiana inapobidi otherwise maisha yako tu yanatosha kukukeep bussy sana tu!!
All the best at School!!!
 
Wewe ndio una matatizo mwenzako kakuona star na anataka akuige ili naye awe juu kama wewe halafu unakereka; kila mtu ana starring wake katika maisha inabidi uwe mvumilivu ila weka mipaka ambayo hatakiwi kuivuka mwenyewe akiona soo atakuwa anakopi kwsa mbali sio kwa kukusogelea sana

Yap labda nianze kuweka mipaka aisee aangalie kwa mbali
 
lol mie hata watsapp sijui ni nn,cna tabia za mashosti,nimebahatika kupata house mbezi i leave with ma young bro,yuko form one,he is ma best friend,wkend twaweza go beach,bmoyo ama places kuwatch ball,yani sihitaji hata mashosti,namfundisha kupika,kufua nguo zake na kusafisha rum yake....its more fun,achana na mashosti bibie watakuharibia ur plans
....yet still ashawahi
kuni add kwa group flani hv la watsapp "la wadada" nkajua litakua zuri
la maana bt humo ni full kudiscuss watu,kujadili Wema kafanyaje,Lulu
yupoje nani anatoka na nani plus mambo ya wanaume unapateje kazi za
nje(wanaume wa nje),unaweza kucheat bila kujulikana yani that kinda
stuff na show off kwa sana.....nilijitoa bila hata kuaga!!
Yani kwa ufupi nashangaa kwanini hafikirii v2 vya maana/vya kimaendeleo
seriously age za kushindana na kushow off mi naona zimepitwa na
wakati....
 
My Dia Your honor unACT diplomacy sana !! Kwa kizazi kipya hizo pozi hawanaga... "itakubidi uteremke chini grassroots uweze cheza soka na wenzio" Au ubadilike kama wao au ubaki as you are!! Enjoy life yako furahi na maisha uyapendayo!!
Good luck
 
kuweka picha watsap ya kitu chochote kwani kakuwekea wewe unazani wewe pekee ndio unaona hizo picha..wewe inaelekea unawivu ndio mana hizo picha zinakukera..na kama anapiga picha kwani amepiga sura yako au anetumia camera yako muache mwenzio ajofotoe akifa hatopata huo mda we ka hutokei vizuri kwa picha si wewe huu ni wivu jama ..hivi mtu kujipiga picha yeye..we unakereka nini.na hiyo mishahara muache aongezewe si ni haki yake kama anadegree..wewe ndio mnafiki unataka rafiki yako awe chini yako kwa kila kitu.
 
Back
Top Bottom