Ushoga na usagaji ni zao la jamii husika.

Ushoga na usagaji ni zao la jamii husika.

Hebie

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2012
Posts
1,415
Reaction score
879
Habari wanajamvi.
Ni miaka mingi imepita tangu mapenzi ya jinsi moja yaanze kushika kasi, kwa wenzetu si habari mpya hadi wamefikia hatua za kuharalisha ndoa lakini kwa hapa kwetu bado ni jambo geni kulinganisha nawenzetu ughaibuni, japo na sisi tumefika hatua za hadi kujitangaza mitandaoni kutafuta wenza wa jinsi moja.

Nimetafakari kwa kina na kugundua huenda hizi ni miongoni mwa sababu zinazopelekea matendo haya maovu
miongoni mwazo ni

1. Usaliti katika mapenzi na ndoa, kwa mfano me akisaliti kuna baadhi ya ke hujikuta huwachukia wanaume na akiomba ushauri kwa watu humpoteza na kuanza kushirikimapenzi ya jinsia moja(kusagana)
the same to me akisalitiwa
2.Tamaa ya pesa ya haraka, hushawishiwa na watu wa namna hiyo hasa kutoka ughaibuni na kujikuta wanatopea kwenye huo mchezo mchafu.

3.Ulimbukeni wa kuiga tamaduni za kigeni na kutupa tamaduni zetu kama kissing btn 2people with the same gender.

Naamini zipo nyingi wanaoweza kuongezea karibuni. tuseme Tanzania Stop Homosexul.
 
Back
Top Bottom