Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Sikutaka kuuliza lakini ulipotaja kuwa wengi wao wanatoka Arusha naomba nikuulize
1. Utafiti wako ulikuchukua siku ngapi?
2. Ulihoji watu wangapi kila mkoa?
3. Rika gani ulizihoji?
4. Nyakati gani ulizofanya mahojiano?
5. Sababu walizokwambia kuwa zinasababisha wapendelee ushoga.
6. Tupe tathmini ya idadi ya kila mkoa in %.
Nawasilisha.
wakati naanza kufanya uchunguzi wangu nilidhani kuwa ushoga husababishwa na umasikini, hali haikuwa hivyo kwa sababu mashoga wa bongo 95% wana elimu na uwezo mzuri kiuchumi. Hii inaonyesha wazi kwamba vijana ambao ni mashoga huwa hivyo kwa sababu nyinginezo, ambazo ni ; unajisi na utandawazi. kama serikali itataka kukabiliana na tatizo hili wala isilitangaze kivyovyote kwa sababu mwaka 2011 walizuka mashoga wengi baada ya kutangaza lile swala la D. Cameroon. Hapa wazazi wa kiume(baba) inabidi wawe makini sana na watoto wao, kwa uchunguzi wangu mfupi nilioufanya nimegundua wapo watu wengi wanaopenda kuingiliwa wenye umri, vyeo na nyadhifa mbalimbali, ila 80% ya mashoga wanatokea kaskazini especially Arusha. Kwa ufupi, mwenye swali aulize.
mimi sina swali coz sio shoga na sitarajii kama kuna ndugu yangu yeyote atakuja kuwa shoga
mmh am speechless ila nakubaliana na uliyoyasema.sema hutarajii kujua kuwa ndugu yako ni shoga, mashoga wa siku hizi huwez kuwajua kwa macho wengine mpaka wana six pack na wanazuga kutembea na sisi mpaka ghetto kwa tunaenda lakin Yote ni Zuga ili asistukiwe ila ukiwa makin utawajua ukiwa nae karibu walau a week! Kama una mtoto ni hatari sana kumfungia chumban hupata mihemko hiyo hata House boy anaweza kumharibu mwache aji mix ili uweze kujua changez na hisia zake, Watoto wengi wa Kiume wameharibiwa wakiwa form two mpaka three wakiwa Boarding skul, urafiki wa watoto wa Kiume walopishana sana Age lazima uuhoji kwa busara bila ya wao kujistukia, IFM ni moja ya maeneo yaliyoharibika sana!