Mhhhhh!!!! Hahahahaha lol!!! Hii mpaka ya kusahau jina kali sana....sasa akiulizwa jina lako nani anajibuje!? Silijui Hahahahaha lol!!! Hii kali dah!!!!
Unajua kuna wengine ulozi upo kwenye damu hivyo ni vigumu hata kuwabadilisha watu wa aina hiyo. Nakumbuka baada ya kuanza kutoa tongo tongo niliwahi sema wanaume wana kazi sana yaani kujua huyu mlozi na huyu sio wakati wa mwanzo inahitaji neema mno.
Hii kitu hata mtu akulie wapi kama ana watu wanaofanyaga hayo makitu na kama akili yake ya kushikilia basi lazima afanye tu. Ninachoweza kusema hii yote inasababishwa na kutojiamini kwani kama unajiamini huwezi kushiriki hii mambo hata kidogo. Si unajua hata majiniaz huwa kwao kama ni washirikina lazima aingie na dawa siku ya mtihani mpaka unajiuliza mbona mtu huyu yuko safi tu kwanini anaendekeza hii.
Umezungumzia ya kuwekewa kwenye msosi je zingine utazibaini vipi
Hahahahahahaha umezungumzia Mungu hapo sina la kuongeza kwani yeye hutuepusha na yote iwapo tu tutamuamini.Ni kweli huwezi kujua kila kitu lakini kama unamuamini Mungu basi huweza kukuepusha na majanga mengi hadi unabaki kushangaa na kumshukuru na kumuomba aendelee kukunusuru zaidi. Binadamu wengine wana ile kitu inaitwa sixth sense ambayo iko very sharp. Mara nyingi sana wanakuwa very accurate kwa kumdhania huyu mtu si mtu mwema hivyo inabidi kuwa extra careful au kujiepusha naye kabisa, lakini kama ulivyosema si rahisi kugundua kila kitu. Sasa kama mtu umeshindwa kumuamini kwa mienendo yake mbali mbali haihusu kitu kuendelea kupoteza muda wako bali ni kusepa haraka sana.
I salute youHizo za kutengeneza ndege zitanifikisha wapi?
Niache nile raha zangu babu wee....maisha mafupi