Ushirikina imani iliyotawala wengi

Ushirikina imani iliyotawala wengi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
1411655780101.jpg
 
Masikini kiumbe cha watu

Hakuna mtu anayenikera kama yule tapeli manyaunyau! Hapa hatuzingatii haki za wanyama angeshakuwa jela yule anawatendea vibaya mno paka
 
Vitu vya namna hii mara nyingi hukutwa kwenye njia panda au chini ya miti mikubwa yenye majani yaliyosheheni.
Njia panda. Umesema kweli unakuta na nazi zilizovunjika(vipande vipande), mayai na sarafu, mimi kuna siku na wenzangu tunatoka mpirani mimi nikaokota zile sarafu wenzangu wakawa wananiambia "wewe utadhurika" mimi sikujali niliziokota nikaenda dukani nikazitumia na hakuna chochote kilichotokea
 
U did it well HARUFU tena ungetolea lock kabisa
 
Last edited by a moderator:
Hakuna lolote lile zaidi ya ukafiri ndio unawasumbua watu kutokumwamini m/mungu kama ndiye mwenye nguvu za kutoa matatizo yote yanayotusibu wanaadam,inashangaza kuona target ya hao makafiri washirikina ni wanyama wasiokuwa na hatia yeyote ile hawa ni baadhi ya victims wa ushirikina,Paka mweupe au mweusi,njiwa ,mbuzi au kondoo nazi mdondo,pesa za coin,viwembe n.k
 
Na bado huyo mganga akimaliza upuuzi wake anakwambia kamwombe Mungu
 
Hao waganga ni makafiri wasomuamini m/mungu na ndio maana wanajiona wao wanazonguvu mithili ya mola,niliisha waita ni makafiri na sina maana wanaweza kumkubali mungu mpaka kufikia kukuambia ukamuombe mungu baada ya kufanya kazi zao za kitaalam.
Pia tena hawa waganga hutumia kitu kinachoitwa kukusomea bao au kupiga bao na kukuelezea adui zako na pia matatizo yako yametokea wapi au kwa nani,yaani ni shirki tupu na ukafiri ndio umewatawala.M/Mpamba.
 
Back
Top Bottom