Ushirikina (chuma ulete) unawaangusha wafanyabiashara

Tatizo hilo lipo pia huko Kigoma. Dawa wanayoifanya watu wa huko ni kuchana kipande kidogo cha noti ya mteja pembeni! Ukienda Kigoma noti nyingi utazikuta zimechanwa pembeni. Sasa sijui kama ni dawa kweli; kazi ni kwako!
 
mkuu unaichana tu!alafu kipande unatupa?au!....do!mkuu hii kali
 
hii imewahi nikuta kwenye daladala baada ya kuchanganya pesa nyingine na chenji niliyorudishiwa na konda. Pesa yote ilipotea ktk mazingira ya kutatanisha!
 
Kama hayajawai kukusibu lazima utasema chuma ulete haipo.
Kuna watu DSM wanaishi kwa iyo kazi akiamka ni mwendo wa kucheza bao mpaka jioni akienda kwenye kihenge chake anakuta noti,anachukua za kumfaa kwa matumizi ya siku ile zingine zasalia kulinda kihenge.
Ila ninachoshangaa hii tech haipenyi bank bwana
 
mkuu ni kweli bank haipenyi?au kwakua hata wale wahudumu zinakua si zao?
Kunawatu wao akiamka ni kua na kiazio cha kuwatuma watoto madukani basi
 
kama hayajawai kukusibu lazima utasema chuma ulete haipo.
Kuna watu dsm wanaishi kwa iyo kazi akiamka ni mwendo wa kucheza bao mpaka jioni akienda kwenye kihenge chake anakuta noti,anachukua za kumfaa kwa matumizi ya siku ile zingine zasalia kulinda kihenge.
Ila ninachoshangaa hii tech haipenyi bank bwana

mkuu bank uchawi huo haufanyi kazi.wapo na ant chuma ulete.bank ni kuiba bila dawa ndo utafanikiwa
 
siuwongo mkuu hatamimi hili swala linanisumbuwa kweli leo nisikuyatatu nachukuwamali nauza nikijafunga mahesabu shot 1000
 
mi mwenyewe yalishanikuta tena kwa omba omba wa barabarani. Ingawa sikuliwa hela nyingi ila ilinifanya niprove kuwa haya mambo kweli yapo.

Mi ilinikuta binti mrembo kasema amepoteza nauli nikampa buku kufika home pesa zimeshort
 
Kwanza kabisa YESU NI JIBU lakini ninachoshangaaga chuma ulete hata siku hawezi kujenga nyumba yeye anaishia kwenye matumizi madogomadogo tu.
 
Back
Top Bottom