Ushirikiano mpya wa upinzani kuzaliwa DeFront

Ushirikiano mpya wa upinzani kuzaliwa DeFront

CCM ikishinda kwa zaidi ya 55% kwenye serikali za mitaa ,madiwani na wabunge; kwa sheria walizopitisha nchi hii itakua kama kule Afrika ya kusini wakati wa utawala wa Makaburu. CCM ndio watakaokuwa wenye nchi na watu wa daraja la juu. Wengine wote watakua ni kama wahalifu kwenye nchi. Umma utakua umeridhia kila kitu kinachofanywa.

Haya ndio tunayoyaishi wakati huu.

Tegemea maradufu ya hii baada ya CCM kunyakua ushindi kwa njia yoyote iwezekanayo baada ya 2020. Nina hofu kubwa!
 
Politics is the art of the possible. Sikumbuki jina la mtu aliyezungumza haya maneno lakini namkumbuka alikuwa kiongozi wa Liberal Party UK.

Bila shaka kiongozi huyo atakuwa ni kati ya David Steel au David Owen, na huenda atakuwa alisema "Politics is the art of Possibilities."
 
Yaani muungano huu nausubiri kwa hamu niuone.
1. Chadema owner ni Mbowe
2. CUF owner ni Lipumba
3. NCCR kimeshajifia
Wabunge wa chadema wanazidi kupukutika.
Arusha yote itarudi mikononi mwa CCM
Kilimanjaro yote itakuwa kwenye mikono ya CCM, Kigoma yote itakuwa mikononi mwa CCM, Mbeya yote itakuwa kwenye mikono ya CCM, Morogoro yote itakuwa CCM, Kagera yote itakuwa CCM, Mara yote itakiwa CCM.

Nawasihi wapinzani jikiteni zaidi maeneo ya Wete Pemba maana hata chakechake ni ngome ya CCM.
 
Politics is the art of the possible. Sikumbuki jina la mtu aliyezungumza haya maneno lakini namkumbuka alikuwa kiongozi wa Liberal Party UK.
Otto Von Bismarck once said, “Politics is the art of the possible, the attainable – the art of the next best.” Some qualify that it is also the art of the impossible.

Indeed, anything is possible, as seen by the huge shake-up in African Gender Politics this month, m



$ There's clear light at the end of the Tannel $
 
Back
Top Bottom