Ushirikiano mpya wa upinzani kuzaliwa DeFront

Magufuli atosha

Sent using Jamii Forums mobile app

Nilimsikiliza kiongozi mmoja mstaafu akizungumzia viongozi wa Afrika kwenye jukwaa moja la kimataifa. Alisema hivi: extremely selfish and short sighted. Their only preoccupation is now and here! Maneno mazito sana kutoka kwa mstaafu. Anajua alikuwa akizungumza kwa ujumla lakini ukisikia kauli kama hiyo lazima utajiuliza kwa kiasi gani inakugusa; "charity begins at home".
 
Tunawaombea viongozi wetu awape busara na nguvu za kuendeleza huo mpango ili tumg'oe mkoloni mweusi na kaburu
Kuna mkakati wa kuanzisha ushirikiano mpya wa vyama vya upinzani nchini kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2020 lengo likiwa ni kuing’oa CCM madarakani, utakaojulikana kama, The United Democratic Front (DeFront) au (U-Front).

Wazo hilo lilitolewa wakati vyama 10 vya upinzani vilipokutana Zanzibar na kutoa Azimio la Zanzibar, na huenda hatua ya Maalim Seif Sharif Hamad ambaye alikuwa muumini wa UKAWA kuhamia rasmi ACT- Wazalendo kumekoleza chachu ya vyama hivyo kutaka kuungana.

Wazo la ushirikiano huo linaweza kufanana na wazo la Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe la kuanzisha muungano mpya wa ushirikiano wa vyama vya upinzani, The United Democratic Front (DeFront).

Zitto alieleza kuwa ana dhamira ya kuona vyama vya upinzani na taasisi nyingine mbalimbali zikiunganisha nguvu dhidi ya CCM katika chaguzi mbalimbali.

Ushirikiano huo wa vyama unaelezwa kuwa mbadala ya UKAWA ya sasa.

Kwa mujibu wa Mwanachama mpya wa ACT, Nassor Ahmed Mazrui ambaye kabla ya kuhamia ACT alikuwa naibu katibu mkuu wa CUF, amesema ushirikiano unaotakiwa kujengwa sasa unapaswa uwe zaidi ya vyama vya siasa kutokana na hali halisi iliyopo.

“Sasa waathirika ni wengi ukilinganisha na vipindi vingine, wafanyabiashara, waandishi wa habari, wanawake na makundi mbalimbali yameumizwa; tunahitaji mabadiliko ya haraka na siyo tu kuwa na muungano wa vyama vya siasa pekee badala yake tunapaswa kuhusisha na taasisi za kiraia.

Kwa upande wake Naibu katibu mkuu wa Chadema, Salum Mwalimu amesema kwa sasa majadiliano ni namna gani vyama hivyo vitashirikiana kufanya kazi pamoja baada ya azimio lile la Zanzibar.

“Inaweza isiwe UKAWA tena na kuwa kitu kingine kabisa, pengine vyama vikaamua kuongeza chama kimoja au vyote, hii itajulikana baada ya vyama kutoa mapendekezo yake na kujadiliwa kwa pamoja pindi tutakapokutana.”

Chanzo Mwananchi.

Ushirikiano mpya upinzani kuzaliwa

In God we trust
 
Kajifungue kichefu chefu kitakwisha

In God we trust
 
Wazipate wapi wakati wanazitumia kuwanunulia wapinzani?
We mavii kweli ww umeona chadema wana shida sana na kuungana? Nyooo mnajifanya watu kumbe viatu tulipeni kwanza hela yetu ya koro-show

get well soon tl

In God we trust
 
Sijawahi kuona post ya kipumbavu kutoka mtu mpumbavu kiasi hiki
Kikwazo kitaletwa na Chadema.
Kama kuna mtu anabisa asubiri aone kwenye uchaguzi wa muhimu sana wa serikali za mitaa ambao Chadema wamelala kama vile hakuna kitu kiko mbele yao. Uchaguzi wa serikali za mitaa ni wa muhimu kuelekea uchaguzi mkuu.
Matokeo yake tunaona Wabunge tuliojua ni Makamanda wanaonyesha upimbi mkubwa kabisa wakionyesha hadharani ubinasi wao na kushiba fedha kwa kujitapa kabisa kuwa wameacha kuwatumikia wananchi kwa sababu walikua na Maternity Leave na huko Marekani.!! Matokeo yake wapiga kura nchi nzima welipuka kwa hasira kuwa kumbe wale wanaopigania Chama mpaka wanapata ulemavu na wengine kupoteza maisha yao wao hawana familia.
Pumba za mbavu kabisa!!
Mtu kama Nasari mwaka Kesho utashangaa Chini ya Mwenyekiti huyo atapewa tena nafasi ya kupeperusha bendera ya Chama.
Halafu chama kikikosa kura mnailalamikia Tume.

Wapinzani waanze kwanza kuungana kwa kuachiana viti kwenye Uchaguzi wa serikali za mitaa.

Ni lazima siasa iangalie mazingira ya eneo na itikadi za vyama.

Suala lisiwe tu kuwa ni chama gani kilichopata kura nyingi Chini ya ukawa lakini pia itikadi za vyama na muitikio wa wapiga kura wa eneo hilo.

Bila upinzani imara hii CCM kitakua chama cha wakoloni weusi wasiojali wapiga kura ,chama kisichokua na hofu yoyote ya kuwadharau na kuwagandamiza na kuwanyima haki wananchi.

CCM hata ikishinda lakini isishinde kwa Ushindi wa zaidi ya 55% nchi hii itakua mahali pazuri sana pa kuishi . CCM ikishinda kwa zaidi ya 55% kwenye serikali za mitaa ,madiwani na wabunge; kwa sheria walizopitisha nchi hii itakua kama kule Afrika ya kusini wakati wa utawala wa Makaburu. CCM ndio watakaokuwa wenye nchi na watu wa daraja la juu. Wengine wote watakua ni kama wahalifu kwenye nchi. Umma utakua umeridhia kila kitu kinachofanywa.
Yaani Bunge kukaa gizani , Uhuru wa habari kuendelea kuwa finyu zaidi, Uhuru wa kisiasa kuwa ni uhalifu mkubwa . Magereza itakua ni nyumba za watu wenye mitizamo tofauti na CCM.

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we trust
 
Chadema mnahangaika mno na Maalimu hadi kinyaa/kichefuchefu

Ujaelewa nn hapo?
Dhamira ni kuunganisha nguvu [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] (ndani na nje ya vyama)

[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Kuna mkakati wa kuanzisha ushirikiano mpya wa vyama vya upinzani nchini kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2020 lengo likiwa ni kuing’oa CCM madarakani, utakaojulikana kama, The United Democratic Front (DeFront) au (U-Front).

Wazo hilo lilitolewa wakati vyama 10 vya upinzani vilipokutana Zanzibar na kutoa Azimio la Zanzibar, na huenda hatua ya Maalim Seif Sharif Hamad ambaye alikuwa muumini wa UKAWA kuhamia rasmi ACT- Wazalendo kumekoleza chachu ya vyama hivyo kutaka kuungana.

Wazo la ushirikiano huo linaweza kufanana na wazo la Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe la kuanzisha muungano mpya wa ushirikiano wa vyama vya upinzani, The United Democratic Front (DeFront).

Zitto alieleza kuwa ana dhamira ya kuona vyama vya upinzani na taasisi nyingine mbalimbali zikiunganisha nguvu dhidi ya CCM katika chaguzi mbalimbali.

Ushirikiano huo wa vyama unaelezwa kuwa mbadala ya UKAWA ya sasa.

Kwa mujibu wa Mwanachama mpya wa ACT, Nassor Ahmed Mazrui ambaye kabla ya kuhamia ACT alikuwa naibu katibu mkuu wa CUF, amesema ushirikiano unaotakiwa kujengwa sasa unapaswa uwe zaidi ya vyama vya siasa kutokana na hali halisi iliyopo.

“Sasa waathirika ni wengi ukilinganisha na vipindi vingine, wafanyabiashara, waandishi wa habari, wanawake na makundi mbalimbali yameumizwa; tunahitaji mabadiliko ya haraka na siyo tu kuwa na muungano wa vyama vya siasa pekee badala yake tunapaswa kuhusisha na taasisi za kiraia.

Kwa upande wake Naibu katibu mkuu wa Chadema, Salum Mwalimu amesema kwa sasa majadiliano ni namna gani vyama hivyo vitashirikiana kufanya kazi pamoja baada ya azimio lile la Zanzibar.

“Inaweza isiwe UKAWA tena na kuwa kitu kingine kabisa, pengine vyama vikaamua kuongeza chama kimoja au vyote, hii itajulikana baada ya vyama kutoa mapendekezo yake na kujadiliwa kwa pamoja pindi tutakapokutana.”

Chanzo Mwananchi.

Ushirikiano mpya upinzani kuzaliwa
Rejea sheria mpya ya vyama vya siasa.Multipartism kwa maana halisi imeshazikwa tokea juzi sheria iliposainia . Kwa kifupi tumerudi rasmi kwenye chama kimoja kwa mtindo ambao wengi hawajui ndio maana kwa bahat mbaya sana maada kama hii unaziona hapa . Sheria ina piga marufuku ushirikiano wowote baina ya vyama. Mkijifanya wajanja wagombea wenu wanapigwa chini na msajili au wanafutiwa uanachama na anawapendekeza wagombea wake. Kwa kifupi ni kwamba tutaelekea kwenye fujo hasa sheria ikianza kutumika. Kwa kuwa watu hawatakubali na polisi watakomaa.hali hii itapelekea sisim kubakia madarakani kimabavu na hata ccm wenyewe hawatapenda hasa wale watakao kosa vyeo na teuzi mbalimbali. Matokeo yake cop de tat hazitaisha na kuviziana pyu pyu
 
Sheria imeshaanza kutumika ila haijazuia vyama kushirikiana.
 
Kuna mkakati wa kuanzisha ushirikiano mpya wa vyama vya upinzani nchini kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2020 lengo likiwa ni kuing’oa CCM madarakani, utakaojulikana kama, The United Democratic Front (DeFront) au (U-Front).

Wazo hilo lilitolewa wakati vyama 10 vya upinzani vilipokutana Zanzibar na kutoa Azimio la Zanzibar, na huenda hatua ya Maalim Seif Sharif Hamad ambaye alikuwa muumini wa UKAWA kuhamia rasmi ACT- Wazalendo kumekoleza chachu ya vyama hivyo kutaka kuungana.

Wazo la ushirikiano huo linaweza kufanana na wazo la Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe la kuanzisha muungano mpya wa ushirikiano wa vyama vya upinzani, The United Democratic Front (DeFront).

Zitto alieleza kuwa ana dhamira ya kuona vyama vya upinzani na taasisi nyingine mbalimbali zikiunganisha nguvu dhidi ya CCM katika chaguzi mbalimbali.

Ushirikiano huo wa vyama unaelezwa kuwa mbadala ya UKAWA ya sasa.

Kwa mujibu wa Mwanachama mpya wa ACT, Nassor Ahmed Mazrui ambaye kabla ya kuhamia ACT alikuwa naibu katibu mkuu wa CUF, amesema ushirikiano unaotakiwa kujengwa sasa unapaswa uwe zaidi ya vyama vya siasa kutokana na hali halisi iliyopo.

“Sasa waathirika ni wengi ukilinganisha na vipindi vingine, wafanyabiashara, waandishi wa habari, wanawake na makundi mbalimbali yameumizwa; tunahitaji mabadiliko ya haraka na siyo tu kuwa na muungano wa vyama vya siasa pekee badala yake tunapaswa kuhusisha na taasisi za kiraia.

Kwa upande wake Naibu katibu mkuu wa Chadema, Salum Mwalimu amesema kwa sasa majadiliano ni namna gani vyama hivyo vitashirikiana kufanya kazi pamoja baada ya azimio lile la Zanzibar.

“Inaweza isiwe UKAWA tena na kuwa kitu kingine kabisa, pengine vyama vikaamua kuongeza chama kimoja au vyote, hii itajulikana baada ya vyama kutoa mapendekezo yake na kujadiliwa kwa pamoja pindi tutakapokutana.”

Chanzo Mwananchi.

Ushirikiano mpya upinzani kuzaliwa
Bora DeFront kuliko ule ushirikiano wa kihuni ulioitwa UKAWA
 
Sheria imeshaanza kutumika ila haijazuia vyama kushirikiana.
Vyama vikitaka kushirikiana inabidi vimjulishe msajili ili apitie maombi aviruhusu. Sasa nikuulize msajili yupi huyo atakayepitisha maombi ili vyama vishirikiane viwe na nguvu ya ku compete na CCM?
 
Isome sheria vizuri.
 
Back
Top Bottom