Ujinga ni kitu kibaya sana!! Waliotuletea dini waliona mbali na hadi tuje kushtuka tutakuwa tulishalipa gharama kubwa za kijinga.
OUT OT TOPICUjinga ni kitu kibaya sana!! Waliotuletea dini waliona mbali na hadi tuje kushtuka tutakuwa tulishalipa gharama kubwa za kijinga.
OUT OT TOPIC
Mkuu may i use this comment as my signature at least for one month
Thanx mkuuRuksaaaaaaaaaaaaaaaaa mkuu.
Umenena vyema lakini tatizo linakuja kama hatua za makusudi za kukomesha hali hii hazitachukuliwa na serikali yetu basi tutegemee hali hii itaendelea na kusababisha machafuko. Kwanini mtu anavunja Katiba anaachwa? Kwanini mtu anapotosha watu kwa makusudi haonywi? Kunatatizo mahali hebu tujiangalie upya.mim nadhan hakuna haja ya kupoteza muda na huyo sheikh ambaye sijui amesoma mpaka wapi.naiheshimu elimu na kuwapenda hata wasiosoma lakini siwezi kuvumilia watu kama hao(wasio soma) wenye akili ndogo zilizokuzwa na kustawishwa katika malalamiko na kulialia kiujaribu kuvuruga amani na demokrasia yetu changa. kama ana akili anaweza atueleze madhara ya uhusiono na ndoa kamilim kati ya cuf na ccm.uislamu na waislamu wanadhalilishwa na watu wa aina hii.