Ushirika Building.

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,142
Reaction score
166,071
Ni miaka miwili sasa tangu jengo la ushirika lilipoungua.
Cha kusikitisha ni kwamba jengo hilo lililopo katikati ya jiji limeachwa hivyo hivyo na masizi yake, bila kuzibwa waka kufunikwa, na kuharibu kabisa sura nzuri ya bustani ya mnazi mmoja.
Tunaomba wenye jengo walizungushie japo kwa mabati kama hawana fedha ya kulikarabati, maana linafanya mji uonekane kama masalia ya vita.
 
Very true BujiX2. Naskia halirekebishwi kwa sababu wanategemea litaungua tena muda si mrefu so hawataki kazi ya kurekebisha mara mbili mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…