Ushindi wa Tyrant of the Year kwa mtukufu, nao wizi kama alivyopola uchaguzi wa 2025!

Ushindi wa Tyrant of the Year kwa mtukufu, nao wizi kama alivyopola uchaguzi wa 2025!

mkulimamiwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2025
Posts
2,254
Reaction score
4,466
Embu tuacheni ushabiki tuuseme ukweli

Mtukufu anashindaje tuzo hii kwa kuwashinda Netanyahu waziri mkuu wa Israel kama sio wizi kama kulivyofanyika kwenye uchaguzi?

Trump, Rais wa Marekani anamshindaje kwa mfano kama sio wizi mwingine huu?

Zipi sababu za mtukufu huyu kushinda Tyrant of the Year?

Huko nako tume yake ya uchaguzi imehusika na imetekeleza maagizo yake
 
Embu tuacheni ushabiki tuuseme ukweli

Mtukufu anashindaje tuzo hii kwa kuwashinda Netanyahu waziri mkuu wa Israel kama sio wizi kama kulivyofanyika kwenye uchaguzi?

Trump, Rais wa Marekani anashindaje kwa mfano kama sio wizi mwingine huu?

Zipi sababu za mtukufu huyu kushinda Tyrant of the Year?
Tofautisha vita za mataifa na mauaji ya raia wako ndani ya nchi yako
 
N furaha yangu kuona makobaz wakipelekewa moto, hvy babu Trump na Netanyahu nawaunga mkono.

Kuhusu Manyonyo, huyo anastahili kukusanya kila tuzo inayokuja mbele yake kama ilivyo Chelsea 😂

Juzi kati alishinda tuzo ya utalii tuzo inafanana na dildo, Nadhani atakuwa na kazi nayo kwenye mkungu wake chumbani huko kizomkazo.
 
Duh!!!

Bi mdashi kabeba chuma?aisee huyu ni wa kupongezwa kila mahali ana-fit,kwenye roho mbaya yumo kwenye kujulikana ana roho mbaya kuliko wote yumo.
 
Embu tuacheni ushabiki tuuseme ukweli

Mtukufu anashindaje tuzo hii kwa kuwashinda Netanyahu waziri mkuu wa Israel kama sio wizi kama kulivyofanyika kwenye uchaguzi?

Trump, Rais wa Marekani anamshindaje kwa mfano kama sio wizi mwingine huu?

Zipi sababu za mtukufu huyu kushinda Tyrant of the Year?

Huko nako tume yake ya uchaguzi imehusika na imetekeleza maagizo yake
Netanyahu hajaweza kuua watu 700 kwa siku 5. Huyu wetu kaweza lazima apewe tuzo yake. Ambayo ni lita loja ya damu ya watanzania
 
Back
Top Bottom