Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,719
- 1,440
Kwenye level ya Chama chako hamkubali kushindwa mnarushiana maneno makali mfano ni uchaguzi ulioisha Sumaye ametoa maneno ya kutosha kuwa mpinzani wake Mary Nagu hajashinda kihalali. Leo unaleta ***** humu jamvini ukifananisha sisa za marekani na za maji taka za chama chako. Tena bila aibu unaandika iwe funzo kwa wapinzani! Poor Nape