USHINDI wa Obama ni fundisho kwa wapinzani nchini Tanzania

Kwenye level ya Chama chako hamkubali kushindwa mnarushiana maneno makali mfano ni uchaguzi ulioisha Sumaye ametoa maneno ya kutosha kuwa mpinzani wake Mary Nagu hajashinda kihalali. Leo unaleta ***** humu jamvini ukifananisha sisa za marekani na za maji taka za chama chako. Tena bila aibu unaandika iwe funzo kwa wapinzani! Poor Nape
 
Juzi tu mwenyekiti ccm amelia hadharani kukithiri rushwa chaguzi ccm au umesahau? Hii ndio demokarasia ya kulinganisha na ya USA? Disabuse your mind man.
 
......giving blind a mirror is mockery inability and predicament: Nape and Wiliam what they are saying, are quite different from what they mean - i know; they know the reality.
 
US elections and Tz election are far beyond comparizon its like comparing these two nations interms of GDP
 
Hivi nape ni wewe uliyeandika haya au ni mwingine??una akili timamu au umelogwa na kuchanganyikiwa na hayo magamba,,nahisi uwezo wako wa kufikiri umefikia kikomo na sishangai kwa sababu hiyo huwa ndio kawaida ya viongozi wa ccm wanapokuwa ndani ya ulaji wa dhuluma dhidi ya wananchi,,ningekukubali kama ungesema uchaguzi wa marekani uwe fundisho kwa chama tawala jinsi ya kuendesha siasa za demokrasia na si vinginevyo.
Ila Kwa vile uliyeongea ni wewe uliyefichua ufisadi wa jengo la ccm dar wakataka kukufukuza wenye chama ukaponea chupuchupu na mwisho ukafarijiwa kacheo sasa umekuwa mpambe wa ufisadi bila kujijua na akili yote imekuishia.SASA KAMA ILIKUWA NI NJAA SI UNGELISEMA MAPEMA TUKUELEWE,,BILA HATA HAYA UNAWEZA KUULINGANISHA UOZO WA SIASA ZA CCM NA ZA MAREKANI???SHAME ON YOU!!!USITUTUPIE MAKAPI, HUMU JF WOTE NI MAGREAT THINKERS
 
Pengine dawa za mkorogo anazotumia kujichubua, zinaribu ubongo wake kwa vitu vya ncha kali za kemikali......! Msimlaumu sana
 
Ushindi wa Obama dhidi ya Romney ni fundisho zuri kwa upinzani nchini kwetu kama wataamua kujifunza, mafunzo muhimu sana kwa washindani wa kisiasa ni pamoja na;

1. Kiwango cha utekelezaji wa ahadi mbalimbali na mipango (Ilani ya uchaguzi) kwa wananchi ina nguvu kubwa katika kuwafanya wapiga kura kuamua nani wa kumpa kura wakati wa kupiga kura..... Kupigia kura mabadiliko au la....

2. Kelele nyngi na wingi wa wapiga kelele si kigezo cha kupata kura nyingi siku ya kupigiwa kura......mikakati na ukaribu na wapiga kura ambao huonyesha ni kiasi gani Chama kiko karibu na kuzijua changamoto zinazowakabili wapiga kura ni moja ya misingi mikubwa...

3. Kutumia muda mwingi kuponda mafanikio yaliyopatikana kwenye kipindi cha mshindani wako...hasa aliyeko madarakani hakusaidii kukufanya upate kura bali wenye akili zao wataona unawadharau na kuwaona wajinga kama vile hawaoni yaliyofanyika.....ndicho kilichommaliza Romney...

4. Lakini ushindi kwa Obama ni dalili njema za kukubalika kwa fikra za kijamaa kwa Taifa kubwa na la kibepari duniani.....sasa tizameni upya itikadi zenu........

Muone kwanza, huna hata aibu? ndo unajiita kiongozi mkubwa kwa haya! unajipa moyo tu wapinzani hii ni zamu yao
 
wanajamvi nimekuwa nafatilia kwa ukaribu sana jinsi kampeni timu ya obama ilivyokuwa so strategic!

Wameweza kuwahamasisha vijana sio tu kumkubali mgombea wao bali kuhakikisha kila mmoja wao anaenda kupiga kura kwa kuwafuatilia mmojammoja nyumba kwa nyumba au simu kwa simu.

Najua hii inahitaji resource kubwa ila resource sio pesa tu kwani volunteers walikuwa wengi sana kuhakikisha mipango inafanikiwa. So big reason to our chadema!
nimeipenda hii strategy, wanachama wa chadema wahamasishane wenyewe na kuwahamasisha wengine kupiga kura
 
Ushindi wa Obama dhidi ya Romney ni fundisho zuri kwa upinzani nchini kwetu kama wataamua kujifunza, mafunzo muhimu sana kwa washindani wa kisiasa ni pamoja na;

1. Kiwango cha utekelezaji wa ahadi mbalimbali na mipango (Ilani ya uchaguzi) kwa wananchi ina nguvu kubwa katika kuwafanya wapiga kura kuamua nani wa kumpa kura wakati wa kupiga kura..... Kupigia kura mabadiliko au la....

2. Kelele nyngi na wingi wa wapiga kelele si kigezo cha kupata kura nyingi siku ya kupigiwa kura......mikakati na ukaribu na wapiga kura ambao huonyesha ni kiasi gani Chama kiko karibu na kuzijua changamoto zinazowakabili wapiga kura ni moja ya misingi mikubwa...

3. Kutumia muda mwingi kuponda mafanikio yaliyopatikana kwenye kipindi cha mshindani wako...hasa aliyeko madarakani hakusaidii kukufanya upate kura bali wenye akili zao wataona unawadharau na kuwaona wajinga kama vile hawaoni yaliyofanyika.....ndicho kilichommaliza Romney...

4. Lakini ushindi kwa Obama ni dalili njema za kukubalika kwa fikra za kijamaa kwa Taifa kubwa na la kibepari duniani.....sasa tizameni upya itikadi zenu........

This young man must be joking, kulinganisha mbingu na ardhi
 
ushindi wa obama dhidi ya romney ni fundisho zuri kwa upinzani nchini kwetu kama wataamua kujifunza, mafunzo muhimu sana kwa washindani wa kisiasa ni pamoja na;

1. Kiwango cha utekelezaji wa ahadi mbalimbali na mipango (ilani ya uchaguzi) kwa wananchi ina nguvu kubwa katika kuwafanya wapiga kura kuamua nani wa kumpa kura wakati wa kupiga kura..... Kupigia kura mabadiliko au la....

2. Kelele nyngi na wingi wa wapiga kelele si kigezo cha kupata kura nyingi siku ya kupigiwa kura......mikakati na ukaribu na wapiga kura ambao huonyesha ni kiasi gani chama kiko karibu na kuzijua changamoto zinazowakabili wapiga kura ni moja ya misingi mikubwa...

3. Kutumia muda mwingi kuponda mafanikio yaliyopatikana kwenye kipindi cha mshindani wako...hasa aliyeko madarakani hakusaidii kukufanya upate kura bali wenye akili zao wataona unawadharau na kuwaona wajinga kama vile hawaoni yaliyofanyika.....ndicho kilichommaliza romney...

4. Lakini ushindi kwa obama ni dalili njema za kukubalika kwa fikra za kijamaa kwa taifa kubwa na la kibepari duniani.....sasa tizameni upya itikadi zenu........

sasa mbona unewafagilia chandema tena!! Democrat si ndo walikua upinzani uchaguzi uliopita. Halafu wakaja na slogan ya change u can trust; wakashinda, na sasa bado wanawakandamiza kilichokua chama cha upizani rep.
 
Hahahaha huyu rafiki wa Nape anaye sema kuna watu wana mlilia, hivi ni nani wa kumlili huyu mtu zaidi ya wale anao piga nao picha? Kweli kuna watu wanapenda kujisifia sana!

Hivi uliliwe kurudi jf kuna mtu unamlisha humu? Kweli we ni kiongozi hahahaha!

Na swala william kujiita kiongozi wa taifa nalo limenishangaza,
sijui kama ana jua maana ya kiongozi wa taifa,

Hivi huyu anaongoza taifa lipi?
Mungu wangu huku ni zaidi ya kuchanganyikiwa!
 
:majani7:Nape una matatizo mengi sana, moja ni kudandia hoja na kufananisha mambo hata yasiyo fanana.
  1. Tambua Obama alishinda Uraisi awamu ya kwanza akitokea chama cha upinzani na siyo chama tawala. Hivyo wewe kushabikia ushindi wa Obama maana yake ni ushindi wa upinzani kwa maana tangu mwanzo awamu yake ya kwanza kugombea ninyi magamba hamkumuunga mkono aliungwa mkono na vyama vingi vya upinzani. Leo ameshika serikali mnajidai Obama....Obama.....obama.............Ushambenga mtupu.
  2. Hata Mwai kibati alishinda uraisi wa Kenya alitokea upinzani, na wanamageuzi wengi wakamuunga mkono sana, vivyo hivyo akishinda mpinzani mwingine kwa upinzani ni rahaaaaaaaaaaaaa tuuuuuuuuu.
  3. Angalia kwa Sata Zambia na mlimuona Sata hafai aliposhinda tu mkawa kiherehere wa kumpongeza, yule alikuwa mpinzani tena kwa awamu 4.
  4. Malawi kaingia mpinzani baada ya mpinzani kufariki hili pia ni shangwe kwa wapinzani.

JIFUNZE.

  1. Ahadi za kimarekani hazifanani za nenu Magamba za kudanganyana tena kwa chakula , chumvi,tshirt na vilemba na ubwabwa. Ushahidi hupo juu ya haya, je unaushaidi kuwa Obama nae aligawa au kuhonga hivi vitu?
  2. Wewe ni katibu mwenezi wa kueneza umbeya na majungu, eneza ccm yako kuanzia Arusha, Igunga, Sumbawanga Mjini, Mbeya Mjini,Bharumulo, Mpanda Kati, Moshi Mjini, Hai, Rombo, Mbulu, Kigoma Kaskazini, Karatu, Mbozi Magharibi, Singida Mashariki, Ubungo, Kawe, Nyamagana, Ilemela, Ukerewe, Musoma Mjini, Lindi, Kilwa, Mtibwa, Njombe,Daraja Mbili, Tabora, Pemba, Mji Mkongwe..........looo baba umefulia babaaaaaaaaaa.
  3. Obama ana nguvu ya hoja na achekicheki ovyo.
  4. Hoja za kujifunza ninyi mabwepande ndio mlitakiwa kujifunza na sio wapinzani.
  5. Mwisho kasome ilani yako vizuri na shukuru waliokutea umenenepa kakaaaaaaaaaaaaaaaaaa:majani7:
 
leo ndo umedhihirisha ukilaza wako,yaan siasa za TZ unalinganisha na za USA,kweli ccm wote wamefilisika kifikra hakuna mwenye unafuu.Na msijishaue hapa mkae mkijua kbs tushawachoka.
 
Mtamfanya kaka wa watu akajinyonge sasa
kuhimili ukweli sii jambo dogo lahitaji nguvu za ziada.
 
Huyu ndio katibu Mwenezi wa chama taifa.Anakuja na hoja ambayo inakiua kabisa chama chake kwani hata mwanafunzi wa darasa la saba anajua hapo kaongea uongo. Namsifu sana Makamba sr kwani alijua viongozi wa CCM hawawezi kutoa hoja zenye mashiko akapiga marufuku kuhudhuria midahalo kwani wangeharibu kabisa.
 
Ushindi wa Obama dhidi ya Romney ni fundisho zuri kwa upinzani nchini kwetu kama wataamua kujifunza, mafunzo muhimu sana kwa washindani wa kisiasa ni pamoja na;

1. Kiwango cha utekelezaji wa ahadi mbalimbali na mipango (Ilani ya uchaguzi) kwa wananchi ina nguvu kubwa katika kuwafanya wapiga kura kuamua nani wa kumpa kura wakati wa kupiga kura..... Kupigia kura mabadiliko au la....

2. Kelele nyngi na wingi wa wapiga kelele si kigezo cha kupata kura nyingi siku ya kupigiwa kura......mikakati na ukaribu na wapiga kura ambao huonyesha ni kiasi gani Chama kiko karibu na kuzijua changamoto zinazowakabili wapiga kura ni moja ya misingi mikubwa...

3. Kutumia muda mwingi kuponda mafanikio yaliyopatikana kwenye kipindi cha mshindani wako...hasa aliyeko madarakani hakusaidii kukufanya upate kura bali wenye akili zao wataona unawadharau na kuwaona wajinga kama vile hawaoni yaliyofanyika.....ndicho kilichommaliza Romney...

4. Lakini ushindi kwa Obama ni dalili njema za kukubalika kwa fikra za kijamaa kwa Taifa kubwa na la kibepari duniani.....sasa tizameni upya itikadi zenu........
hata ukiangalia takwimu za uchangiaji katika mada hii, utabaini kuwa ccm haina mvuto tena. kinachowabeba ni njama za hovyo hovyo tu. halafu wewe Nape kwa nini pamoja na kutopata uungwaji kwa karibu hoja zako zote, bado huchoki kupost utombo wako?
 
Kwani kuna chama cha kijamaa Tanzania? chama chako kisiingilie tume ya uchaguzi ndo itakuwa ngoma inogile
 
Ama kweli aliyeanzisha thread amechafua hali ya hewa...Kha! Marekani na Tanzania wapi na wapi?
 
Back
Top Bottom